Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kwenye mapenzi... Wanawake huwa hawawana upendo ila wanatengenezewa upendo na mwanaume...naamaanisha nini? mwanamke anaweza kukupenda wewe kama alivyompenda mwanaume wake wa kwanza katika...
17 Reactions
91 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa, Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake...
75 Reactions
325 Replies
16K Views
Wakuu, Em tufahamishane kuhusu hili, mtu akisaliti (Cheat) kuna uwezekano wa uhusiano kurudi katika hali ya kawaida kabisa bila ukakasi?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Masomo yangu ya O-Level nilipata katika shule moja ya kikatoliki ya wavulana..... Nlivokua form 2 nikahamia bweni kubwa, form 1 tulikua na mabweni yetu peke yetu. Bweni kubwa wanakaa form 2,3na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Heri ya mifungo ndugu Wakristo na Waislamu. Nakumbuka wakati nikiwa kidato cha nne, 'washkaji' zangu wa enzi hizo waliwahi kunitania siku moja utani mchungu mno. Kuna jamaa yangu akabong'oa...
8 Reactions
76 Replies
4K Views
Ukimuona utadhani malaika/ Kwa jinsi alivyo umbika/ Jicho la kulainika/ Kiuno kimebinuka/ Tumbo limefutika/ Mpodo umejazika/ Sauti yake tamu hakika/ Yaani mtoto kakamilika/ Ana haiba ya...
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Nawasalimia! Nimeogopa na kutishika sana kila nisomapo baadhi ya ripoti za mashirika ya kiserikali na yale yasiyo ya kiserikali kuhusu vifo vya mabinti wakati wa kujifungua kutokana na udogo wa...
2 Reactions
14 Replies
909 Views
Mwanaume unathaminiwa kutokana na uthamani unaotoa kwenye jamii. Harakati zako na mapambano yako vitaonekana vya maana pale tu unapofanikiwa. Lakini kabla ya hapo utaonekana tu kama kijana...
13 Reactions
19 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli wanaopaswa kuupokea. Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko wanao. Eti kumtumikisha dada wa kazi...
23 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi. Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana Jf. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwanye hoja mahususi. Mapenzi ni kitu kimoja cha ajabu sana. Ni mwaka wa pili sasa, tangu nikutane na mwanamke nahisi ndio...
2 Reactions
11 Replies
854 Views
Mwanamke hakuna mahali kwenye maandiko, asili ya maisha ya Mwanadamu alipopewa nafasi ya kuongoza kiibada au kiutawala. Baada ya kuletewa hizi dini za wageni, dini za michongo tunawaona wanawake...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Kuna kipindi nilitokea kumpenda demu mmoja hivi, alikuwa anaitwa jeska,..huyu jeska sio jina halisi. Sasa kila mara nilivyokiwa nikipanga nae ahadi za kwenda kunyanduana,ahadi hiyo ilikuwa...
1 Reactions
5 Replies
825 Views
Za weekend guys, Niende kwenye mada wenye ndoa mbona wanateseka sana yaani unaoa then kupewa mbususu unaanza kuomba tena mara hadi umpe vizawadi sasa mtu unaolewa ili iweje?
17 Reactions
69 Replies
4K Views
Oy wanangu wa JF mambo vp Dah buana kuna siku nimechoka choka hv nikapumzisha ndonga kidogo asa nikawa nimeota hii ndoto.. Nimeota nipo kanisani tena kanisa la nyumbani kwetu ila cha ajabu ibada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heri ya mfungo mtukufu wa Ramadan Ndugu Waislamu, na heri ya mfungo mtukufu wa Pasaka Ndugu Wakristo. Kama kichwa kisemavyo, mimi nina siri moja ambayo hajui mwingine yeyote isipokuwa mimi...
15 Reactions
45 Replies
4K Views
Wasalaam wanajamii, Kati ya fantasy moja ambayo huwa nataman kuitimiza kabla sijajifunga na mambo ya ndoa huwa ni KUMLA Celebrity mmoja. Nawasikia tu watu wakisema hawa wanalika sema lazima uwe...
16 Reactions
180 Replies
9K Views
Sipati picha kwamba itokee na haya mambo yapewe vibali kwamba filamu hizi zinaweza kutengenezwa kama ilivyo kwa nchi zingine, hali inaweza kuwa mbaya sana kikabila. Nadhani itakuwa ni next level...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Muishi milele wanafj Kumekuwa na mtazamo kuwa mwanaume akifanya sana ngono hupata madhara kama kupungua kwa siku zake zakuishi n.k hii ni kwakuwa kwenye sex me ni mtoaji (loser). Huku wengine...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Za sahizi wakuu, Kumekua na tabia ya wazazi ya kuwafukuza mabinti zao kisa wamebeba mimba ambayo si nzuri kwakweli Yaani unakuta mzazi anamtimua nyumbani mwanae kisa kabeba ujauzito kabla ya...
9 Reactions
117 Replies
9K Views
Back
Top Bottom