Nimekaa muda bila hata dusko nimepambana wapi ila nimepiga deal langu moja nimevuta kama 10m sasa bila hata kumwambia mtu naona washkaji wananipiga mizinga.
Mademu wa zamani wananitumia msg za...
Mwanaume ukiwa huna kazi kuna namna mchumba ako anakuona ,tunaweka vitu vingi sana moyoni kias kwamba unaweza kuwa huna kazi huna ela lakin ukitaka kuzalaulika mwambia your fience !huna kazi ume...
Kwenye uongozi kuna lawama.
Lawama za kwanini jahazi halisongi mbele/ limeenda mrama. Lawama zingine huwa hazina msingi. Mwanamke hutegemea mwanaume ndo abebe hizo lawama. Na ndio inakua rahisi...
Wananchi wengi hasa nchini Kenya wamebaki midomo wazi baada ya kuona video iliyovuja ikimuonesha jinsi Dj Brownskin akimrekodi mkewe Sharon Mwangi akijitoa uhai hadi kufa mbele za Watoto wake...
Habari wadau?
Katika pita pita zangu nimejifunza kuwa Wadada wengi wenye watoto ni wavumilivu kimaisha, akili zao zimekomaa, siyo wasumbufu, wana mapenzi ya kweli maana wameshatendwa lakini zaidi...
Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako...
Habari za wakati, kama mada inavyo jieleza.
Mimi ni baba wa Kiislam, mwenye miaka 38, nina mke na watoto watatu.
Natafuta mwanamke mjane wa Kiislam, anayefata Manhaj Salafi! Umri usizidi miaka...
Huyu dada amenifundisha mengi sana. Kaniambia mapenzi si kugegedana tu. Ni more than that. Imagine nimemfuatilia miaka 3 kumbe ananipima aone kama kweli ninampenda.
Kanikubalia mwezi wa 7 huyu...
kijana mwenye jinsia mbili alipata shida ya kibofu cha mkojo na kufanyiwa surgery
Lakini hali yake haikutengamaa bali ndio ikazidi kuwa mbaya sana sana .
Sasa jana kanitumia meseji watsap...
Habari za wakati huu, moja kwa moja, wanawake hawajui wanachokitaka, yaani ni vurugu vurugu kabisa, ipo hivi;
* Ukiwa na uume mrefu atakwambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza...
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida...
Nimerudi tena.
Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake.
Guyz, hawa viumbe wana...
Ni janga la taifa, kila mtu anataka Ke yenye kalio la kufa mtu.
Japo hiyo Ke inaweza ikawa na tabia Mbaya lakini kama nyuma imejazia hizo nyama nyama SAWA SAWA hata ndoa Inaweza ikatangazwa na...
Mwenye nguvu Hana pesa!
Mwenye pesa hana nguvu!
Mwenye pesa na nguvu Hana muda!
Hivyo kubali kuridhika na uliye nae utaishia kulia tuuu
Mistari michache tu kwa leo
Kids na teenagers wanapenda entertainment, right? Sasa kila muda mtoto wa kike anapoweka chaneli ya trace anakutana na wadada wako nusu uchi wakikatika.
Mtoto huyu akiweka chanel ya E...
Kuna demu nilikuwa na mfukuzia mda kidogo alikuwa ananizungusha saana. Lakini kwa bahati nzuri jana ile alinikubalia. Lakini kila nikifunga macho naona kabisa huyu ni chuma ulete
Mtu kanikubali...
Wala GENTAMYCINE nisizunguke sana katika hili Mimi siwezi abadan ila Majina ya Wazazi wangu nitayatumia tu kwa kuwapa Wanangu ( Watoto Wangu ) ila siyo Vinginevyo.
Haya tayari nimeshachokoza Mada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.