Unapodhani maisha ni unfair kumbe sio kama unavyodhani

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,030
Nisikuchoshe Sana,

Dada zetu wanapofikia umri wa Miaka 18 mpaka 29 Wanatesa Sana. Attention ya Kila mwanaume wanaipata kuanzia wanaume wenye Miaka 20 mpaka 50 wote wanawatolea macho Kodo.

Kipindi Hichi mwanamke hujiona kama Malaika na huringa Sana Sababu Kila mtu anamwambia anampenda. Kipindi Hichi unaweza ukatongoza ukapigwa Chaga ya kufa mtu ukabaki kujiuliza nina kasoro gani Mimi au mapenzi Mimi ni msindikizaji.

La hasha huna kasoro Wala nini ila ni nature ilivyochagua. Uzuri wa mwanamke upo Sana kuanzia Miaka 18 mpaka 29 au early 30s. Na kipindi Hichi ni kizuri Sana mwanamke kupata mwenza wa kudumu naye katika maisha sababu akimpata mtu sahihi hatamchezea kama wengine wanao hit and run.

Cha ajabu ni kwamba sifa anazopata mwanamke kipindi Hichi zinamfanya alewe na aone kama umri hauendi. Wanaume wengi wanaweza wakawa wanataka kumwoa lakini akawa amewawekea vigezo vigumu Sana kumpata. Baadaye wanaamua kumuacha. Huyu Mwanamke ataendelea kuwakataa akidhani atampata wa kumfaa lakini hapatikani. Sasa akija kushtuka Bora nipunguze vigezo vyangu nipate wa kunioa tayari umri umeshaenda.

Kila mwanaume anayekutana na huyu mwanamke X anamuona ni kama kaolewa lakini Bado( Ni asili wanawake waliogusa Miaka 32 and above wanaume wanawatambua)

Baadaye anaanza kutafuta wanaume yeye mwenyewe.Ataanza na wale waliokuwa wakimtaka akawakataa lakini atakuta tayari wamewekeza na wanataka wanawake wadogo wadogo wa Miaka 18_25.Ataanza kushangaa na kutoamini uhalisia.

Atazunguka sana kumtafuta mume na bahati Mbaya akimkosa ataona Bora atafute wa kuzaa naye.

Hapo ndipo muda wa uchaguzi wa mwanamke unapokuwa umeisha na mwanaume ndipo anapokuwa amekidhibiwa usukani wa uchugazi na asili.

Asili inamkabidhi mwanaume mwenye umri wa kuanzia Miaka 30 mpaka 50 uwanja wa kuwachagua wanawake anaowataka wadogo wakubwa ni yeye tu (Kuanzia 18 mpaka atakavyotaka yeye)

Hapa ndipo tunasema kibao kimegeuka.Mwanamke kaishiwa kete kwenye mchezo wa kamari.

Nipende kuwaasa wanawake mnapokula ujana msisahau kuwa umri unaenda na hakuna anayetaka kuoa mwanamke mzee.Endeleeni kuwakataa Waume watarajiwa Kwa kuwa Hana gari na vigezo vingine visivyo na msingi.

##NYWA
 
Hiyo signature yako imenistua Sana,

Nikajua Ni m/kiti wa WAKATAA NDOA taifa
IMG_20210908_130306.jpg


Sent using JamiiForums mobile app
 
Si kweli,mleta mada ni aina ya wanaume wanaotaka wakitongoza tu wakubaliwe hapo hapo,sasa kama mtu hakupendi akukubalie ili iweje si ndo mwanzo wa kuchunwa na kusalitiwa. Mwanamke akikukubali kisa umri umeenda kuwa nae makini maana malengo yake yakitimia tu atakuacha unasema wanawake wote malaya,wauaji na majina mengine meeengi mabovu
Depal To yeye Ms eyes Evelyn Salt ntazana ntazana Numbisa Shunie masai dada eti dada zangu wa if hayo aliyoongea mtoa mada ni ya kweli
 
Nisikuchoshe Sana,

Dada zetu wanapofikia umri wa Miaka 18 mpaka 29 Wanatesa Sana. Attention ya Kila mwanaume wanaipata kuanzia wanaume wenye Miaka 20 mpaka 50 wote wanawatolea macho Kodo.
Kuna mtoto wa mjomba alikua anajisifia ni mgumu, mwaka jana ametimiza miaka 30 amebebeshwa mimba na mwanaume ambaye hata nyumbani kwao hataki kumpeleka
 
Si kweli,mleta mada ni aina ya wanaume wanaotaka wakitongoza tu wakubaliwe hapo hapo,sasa kama mtu hakupendi akukubalie ili iweje si ndo mwanzo wa kuchunwa na kusalitiwa. Mwanamke akikukubali kisa umri umeenda kuwa nae makini maana malengo yake yakitimia tu atakuacha unasema wanawake wote malaya,wauaji na majina mengine meeengi mabovu
Nini Cha uwongo kilichoandikwa hujakitaja
 
Back
Top Bottom