Mpenzi askari/jwtz/daktari wa kike

Gee23

Member
Mar 25, 2023
28
38
Wanajamvi, wasalaam!

Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. HUYO MWANAMKE LAZIMA awe:

(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu, kitengo chochote.

Sifa zangu:

-Mwanaume umri 45 miaka
-Mkristu Mkatoliki
-Urefu 175 cm
-Uzito 73kg
-Rangi maji ya kunde
-Elimu chuo kikuu

Sifa za mwanamke ninaemtafuta:

-Awe na umri usiopungua miaka 30.
-Awe mkristu/muislamu.
-Elimu isiopungua form 4 lkn awe na vigezo (A) hapo juu.
-Awe mTanzania, mrundi, mnyarwanda, mkongo, msomali au mMalawi.
-Kama ana mtoto, basi asizidi 1 wa umri mdogo.

Natanguliza shukrani zangu kwa JF, kwa kutuunganisha. Nimeshuhudia wengi wakijipatia wapenzi, wenzi na marafiki humu. Lakini pia nisiwasahau wale waliopo tu kwa ajili ya ku comment, kukosoa, na kukera kwa kuwa kwenye msafara wa mamba....ila kwa wale wanaolitumia jukwaa hili vizuri, wananufaika. Kwenu wenye sifa hizo, tafadhali. Naamini inawahusu hao ladies pekee. Ukipungukiwa na sifa moja, na unatamani kuingia kwangu, tafadhali, PM. Usi 'comment!'
 
Omba mungu upata wa mwisho, maana hao wengine woote...
1) Hawana sifa ya kuishi kindoa tofauti na nchi zao. Uko tayari kwenda kuishi alipo yeye?
2) Woote, washaolewa na mikataba ya hizo kazi. Uko tayari kuwa mume mdogo?
 
Unaoa mtu au kazi? uwe unauliza kwanza. Askari wa kike ni noma utakuja kulia saa 6 Mchana hadharani. Hao huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe
 
Aha, kumbe wanaoana wa kike kwa wa kike? Usjali, tutaelewana tu, yy pia binadamu siwezi kuamini hayo ni ya kuambiwa na kuskia. Ni kama tulivyoogopeshwa tusioe mhaya, sjui mrangi sjui mmachame...lkn mbona wanaolewa tu na hata jua halijasimama au kakataa kuchomoza kisa wameolewa?
 
Wanajamvi, wasalaam!

Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. HUYO MWANAMKE LAZIMA awe:

(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu, kitengo chochote.

Sifa zangu:

-Mwanaume umri 45 miaka
-Mkristu Mkatoliki
-Urefu 175 cm
-Uzito 73kg
-Rangi maji ya kunde
-Elimu chuo kikuu

Sifa za mwanamke ninaemtafuta:

-Awe na umri usiopungua miaka 30.
-Awe mkristu/muislamu.
-Elimu isiopungua form 4 lkn awe na vigezo (A) hapo juu.
-Awe mTanzania, mrundi, mnyarwanda, mkongo, msomali au mMalawi.
-Kama ana mtoto, basi asizidi 1 wa umri mdogo.

Natanguliza shukrani zangu kwa JF, kwa kutuunganisha. Nimeshuhudia wengi wakijipatia wapenzi, wenzi na marafiki humu. Lakini pia nisiwasahau wale waliopo tu kwa ajili ya ku comment, kukosoa, na kukera kwa kuwa kwenye msafara wa mamba....ila kwa wale wanaolitumia jukwaa hili vizuri, wananufaika. Kwenu wenye sifa hizo, tafadhali. Naamini inawahusu hao ladies pekee. Ukipungukiwa na sifa moja, na unatamani kuingia kwangu, tafadhali, PM. Usi 'comment!'
Sawa, unataka mke awe anaenda night shift, sawasawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom