Swali hili, Kwa heshima na taadhima walipokee ndugu zangu wa kusini!
Mrima Mmoka ni kauli ya lugha ya kimakua, lugha ya jamii ya wamakua, jamii ya Hayati Ben Mkapa (Mungu amlaze mahali Pema)
Mrima Mmoka ikitafsiriwa Kwa kiswahili, Ina maana ya Moyo Mmoja!
Mrima Mmoka, iliaminika kuwa ni aina ya dawa iwezayo kutumika kumvuta mwanamke yeyote yule akaliwa mbususu kilaini kabisa bila jasho!
Imani hii ilikuwa maarufu sana miaka ya tisini kurudi nyuma,
Kwa Sasa Mrima Mmoka haupewi airtime kabisa huku kusini
Ilikuwa inasemwa kuwa Mrima Mmoka ni mzizi ambao unausugua kwenye jiwe, Kisha unajipaka na unakwenda kumtongoza unayemkusudia,
Kwa nguvu ya Mrima Mmoka mwanamke hachomoi hata iweje
By that time nilikuwa mdogo hata sikufuatilia,
Kwa Sasa naangalia vijana wanahangaikia mbususu, nabaki najiuliza uko wapi Mrima Mmoka?
Wazee wetu wameuficha wapi huu mti?
Au miti ya mizizi hii imekwisha yote huko porini katika harakati za vijana kuchakata mbususu miaka Ile?
Au ilikuwa masimulizi ya uzushi kama Yale ya mazimwi?
Nawaomba watu wa kusini hususani wilaya za Masasi na Nanyumbu waongee neno!
IPO haja tukutane tukae kikao
Ni aibu Wana kusini kuupoteza huu mti na kuwaacha akina Nandy, Paula, Wema, Wolper, Zuchu na warembo kemkem wakitamba hapa Tanzania!
Na wengine wakijipa bei eti bila laki kadhaa au bila milioni kadhaa, mwanamume Hali mbususu! Daah!