Yuko na mimba ya married man na anainsist atoe cause he says he is not ready for child support.
She doesn't want to kill an innocent baby because of consequences of sex, please she need sober...
1. USIWEKE SIRI
Siri humfanya mwenzako akose raha,
Kuwa wazi kwake
2. USICHEZE NA WENGINE
Wengi hutaniana na kubishana kuwa siyo kudanganya mradi tu hawafanyi mapenzi na wengine. Lakini kutaniana...
Jana baada ya kusoma sms ya M-Pesa imethibishwa umepokea… kama shukrani.
Nilipokea simu ya mteja wangu akiwa na furaha kweli. Furaha yake ni baada ya kusikia maneno aliyokua anasubiri kuyasikia...
Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha tunapenda watu ambao hawatupendi au hawana hisia sawa na zetu. Hizi ni baadhi ya sababu hizo:
Kutafuta uhalali: Mara nyingi tunaweza kupenda mtu...
Mwanaume mmoja alikua ana uhusiano na wasichana watatu. Na akaamua sasa achague mmoja wa kumuoa.
Akawapa mtihani. Akamgawia kila msichana mmoja kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tano...
Tafiti za Kenge,
Bila salamu,Kama unataka kujua kiwango cha Hasira za mtu.Kwenye jamii utaskia yule Jamaa(ANA HASIRA ZA KARIBU SANA) au (yule HANAGA HASIRA KABISA ATA UMCHOKOZE VIPI HAKASIRIKI)...
Unashindwaje kumuoa single mother kwa kumuogopa baba watoto wake kuwa bado wataendelea kupeana mzigo? Halafu unaenda kumuoa mwanamke ambae analist kubwa la wadau wanaomuwezesha kimaisha halafu hao...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Kiukweli katika harakati zangu za kimaisha nimekua nikikutana na wanawake tofauti tofauti wanafanana tabia sana ila wanazidiana tuu . Na nimekua nikiwapima sana...
Never go back to the woman who cheated.
2. Never let a woman disrespect you.
3. Never shake a hand sitting down.
4. Never go broke to impress others.
5. Never eat the last piece of something...
Kuishi na mwanamke inapaswa iwe raha.
Ukiona huna raha kuishi naye, tambua kuna sehemu umeyumba.
Kosa kubwa wengi hufanya ni kuishi na mwanamke anayemtesa sababu anaogopa kumuacha. Anaogopa kuanza...
Yeah! Imeandikwa. Ajifanyiae rafiki wengi ni kwa uangamivu wake ……..” (Mithali 18:24). Utafiti unaonyesha kuwa vijana wengi wa kiume huwa na wachumba wengi kwasababu kwa sababu zifuatazo:
Kwanza...
Habari muda huu Wana JF,
Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba.
Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda...
Yeah! Imeandikwa furaha na tabasamu mbele ya adui yako ni pigo takatifu kwake. Kwenye mahusiano mtu akikusaliti au kukumiza kwa namna yoyote ile huna haja ya kulipiza kisasi, wala kuwa na huzuni...
Unapoamua kuvaa shangaa kiunoni hakikisha mnazungusha hivyo viuno vyenu mnapokuwa na wapenzi wenu faragha,kuna wanawake wanavaa shanga lakini hawajui shanga ni ishara ya mwanamke kukata mauno...
Wakuu nisiwachoshe Mimi ni kijana mwenye umri was 35 naelekea uzeeni Niko DSM nipeni ushaur jamami licha ya umri wangu kwenda suala LA mke kwangu imekuwa mtihani kiukweli nikianzisha mahusiano...
Mimi nashindwa kabisa kuwaelewa wanawake kipi wanakitaka hasa katika haya maisha
Ukijaribu kumuambia ukweli unampoteza yaani anakuacha.
Ukimdanganya anasema apendi wanaume waongo
Kipi kwenu...
Yeah! Hakuna binadamu asiye na mapungufu isipokuwa Mungu pekee. Hivo basi katika kipindi chetu cha maisha ya kwenye mahusiano tunakutana na wapenzi wanaotupenda ila kuna baadhi ya tabia zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.