Hivyo vigezo upo serious, au ndio unataka kupima humu JF wapo wangapi?Umri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo
Awe amezaa watoto wasiozid 2.
We mwache mkuuu tusije tukamzika mapema hii yote eti singo maza daaaaah noma kweliWalahi akiwa na miaka 18-25 afu single maza atakutoa roho.....
Nenda taratibu mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Waje ila wachache wakiwa wengi itakuwa mtihan kuchambua
NakuombeaUmri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo
Awe amezaa watoto wasiozid 2.
NakuombeaUmri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo
Awe amezaa watoto wasiozid 2.
Iko mambo wala sikupingiJf ni ulaghai bro....humu tuwe tunacheka tu
Unamuombea sala ya mwisho auNakuombea