Nifanyeje kurudisha imani yangu kwa wanawake?

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,289
21,475
Nina mtizamo hasi (negative perception)dhidi ya wanawake naomba wana saikolojia na sociologists waliomo humu kunishauri ni jenge imani umpya kwa wanawake ili niweze kua na mapenzi ya dhati sio ya unafiki au pretence love.

Kauli yangu siku zote imekua kwamba "never ever trust a woman what so ever case may be hilo limeniathiri mpaka leo, ninavo ona mwanamke namuona kama mtu mbinafsi anae tafuta pesa sio mapenzi mtu muongo muongo anae pretend ila lengo lake ni kukuibia pesa na kupata unafuu wamaisha kupitia kwako, kuna kipindi natongaza mwanamke mpaka nasahau kwamba nilimuahidi tuonane, I don't take women serious sijui kwanini.

Ila hili limetokana na matukio kadha ni meshuhudia kwa marafiki zangu na mimi mwenyewe nilio fanyiwa wakati ni kiwa kijana mbichi.

Naomba ushauri wa kurudisha imani yangu kwa hao viumbe ili niweze kujenga imani na trust kwao ili nipate wa kuzeeka nae " A true wife ni muhimu ikiwa mtu mzima"
 
99% ya wanaume wanaolalamikia mapenzi ama wanaolaumu wanawake hua shida ni kukosa pesa.

Mwanaume ukiwa na pesa unasahau kitu kinaitwa maumivu ya mapenzi ama kua na negative mentality juu ya wanawake.

Wanaume tutafte pesa, wanawake naturally ni lazima wapende pesa maana miili yao ni fixed expenses lazima uhudumiwe hivyo kupenda kwao pesa ni default, ni asili ili aweze kuhudumia mwili wake apendeze.

Kipindi niko kijana mdogo sina pesa ndio nilikua na mawazo kama hayo. Nakumbuka miaka flani nikiwa bado kijana mdogo Bro wangu akaniambia dogo tafta pesa, pesa ndio kitu pekee itakupa heshima na itakulinda na mapenzi na wanawake. Leo hii baada ya kupata vijisenti vya kuhonga ndio naelewa hilo.

Huna sababu ya kukasirikia wanawake, unapaswa kuwaelewa na kuendana na wanavyotaka otherwise utaishia kulia kila siku na wanawake.
 
Nina mtizamo hasi (negative perception)dhidi ya wanawake naomba wana saikolojia na sociologists waliomo humu kunishauri ni jenge imani umpya kwa wanawake ili niweze kua na mapenzi ya dhati sio ya unafiki au pretence love.

..
Upe muda wakati.. Zipumzishe hisia.. Ponya majeraha na maumivu... Nyakati zitakapopita makovu ya majeraha yakapotea.. Chords that are broken will vibrate once more...!
 
99% ya wanaume wanaolalamikia mapenzi ama wanaolaumu wanawake hua shida ni kukosa pesa.

Mwanaume ukiwa na pesa unasahau kitu kinaitwa maumivu ya mapenzi ama kua na negative mentality juu ya wanawake.

Wanaume tutafte pesa, wanawake naturally ni lazima wapende pesa maana miili yao ni fixed expenses lazima uhudumiwe hivyo kupenda kwao pesa ni default, ni asili ili aweze kuhudumia mwili wake apendeze.

Kipindi niko kijana mdogo sina pesa ndio nilikua na mawazo kama hayo. Nakumbuka miaka flani nikiwa bado kijana mdogo Bro wangu akaniambia dogo tafta pesa, pesa ndio kitu pekee itakupa heshima na itakulinda na mapenzi na wanawake. Leo hii baada ya kupata vijisenti vya kuhonga ndio naelewa hilo.

Huna sababu ya kukasirikia wanawake, unapaswa kuwaelewa na kuendana na wanavyotaka otherwise utaishia kulia kila siku na wanawake.
Mkuu sina hasira na wanawake am just try to be realistic katika hali halisi mkuu mimi sio masikini kwa kutumia vigenzo vya hapa nchini, ila ukweli ni kwamba sina trust nao, nataka niirudishe japo mpaka leo na wahudumia wa viumbe
 
Upe muda wakati.. Zipumzishe hisia.. Ponya majeraha na maumivu... Nyakati zitakapopita makovu ya majeraha yakapotea.. Chords that are broken will vibrate once more...!
Kweli lakini hi hali nimejipa mda wakutosha mkuu an in 40s sioni kama kuna mda zaidi ya huo baada ya 40s ni uzee nataka kujenga imani ili ni stablize future yangu na wanangu kwa kua na honest trustworthy woman nahitaji hiyo Imani.
 
99% ya wanaume wanaolalamikia mapenzi ama wanaolaumu wanawake hua shida ni kukosa pesa.

Mwanaume ukiwa na pesa unasahau kitu kinaitwa maumivu ya mapenzi ama kua na negative mentality juu ya wanawake.

Wanaume tutafte pesa, wanawake naturally ni lazima wapende pesa maana miili yao ni fixed expenses lazima uhudumiwe hivyo kupenda kwao pesa ni default, ni asili ili aweze kuhudumia mwili wake apendeze.

Kipindi niko kijana mdogo sina pesa ndio nilikua na mawazo kama hayo. Nakumbuka miaka flani nikiwa bado kijana mdogo Bro wangu akaniambia dogo tafta pesa, pesa ndio kitu pekee itakupa heshima na itakulinda na mapenzi na wanawake. Leo hii baada ya kupata vijisenti vya kuhonga ndio naelewa hilo.

Huna sababu ya kukasirikia wanawake, unapaswa kuwaelewa na kuendana na wanavyotaka otherwise utaishia kulia kila siku na wanawake.
Umeongea pumba kama mlevi wa gongo
 
Ndoa na mapenzi hutesa sana watu walio na pesa kuliko wenye pesa za kawaida pesa sio kila kitu katika mahusiano ila trust/ uaminifu ni every thing kwenye mahusiano au ndoa mimi ndo nao tafuta, kipenzi chako kunapo anza kutumia uongo ili kupata huduma zaidi au pesa trust itaondoka pamoja na mapenzi.
 
Back
Top Bottom