Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari zenu watu wa Mungu, mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 39, ninahitaji mwanamke wa kuoa, nawakaribisha sana wanawake wenye uhitaji wa dhati wa kuolewa. Wasifu wangu nikama ifuatavyo...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari wapendwa. Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 32. Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza jukwaani kutafuta mume kwenye Nia ya kweli. Uwe Mkristo mwenye hofu ya Mungu Uwe na Umri kuanzia 35-49. Uwe...
9 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu Mimi ni kijana wa miaka 22 mpaka 24. Nafanya kazi kweny kampuni fulan Dar es Salam Mwanaume ninaye muitaji awe na umri kuanzia miak 25 mpaka 30. Itapendeza zaidi akitokea Dar au...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Hi! All members of this forum. I'll try to be as brief as possible. I need a woman for serious relationship that leads to marriage if things goes well and plans are clinched. I am 28 years old...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jina langu ni Daniel Adrian. ( Jina langu halisi) Mara ya mwisho kujihusisha na mahusiano wala siwezi sahau. Ilikuwa kumbukumbu mbaya. Nilishatendwa yani, basi Mwamba nikasema sitaki tena mapenzi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Watu wanatafuta wachumba Sana humu lakini mbona ushuhuda hawatupi walio wai pata wachumba kupitia jf humu ndani au tuna poteza muda tuu watu wana tania kutafuta wachumba Sent from my TECNO B1f...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke wa kuwa na mahusiano nae. *Nilikuwa na mke ila kwa sasa tumetengana *nina mtoto 1 *Kipato changu cha kawaida sana(kidogo) *Umri wangu miaka 30 *sichagui umri wala idadi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Awe anaishi dar umri kati ya 22 mpk 30, tuwe pmoja kupeana ushauri wa maisha na kubadilishana mawazo kua pmoja hadi mke na mume alie serious anitafute Mim ni mrefu, kidgo mpana wa wastan ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sifa zangu Natoboa 30 muda sio mrefu Nina kazi halali Nina Ft 6 Elimu ya wastani kiasi lakini kwa mtaani kwetu ni mmoja ya watu wasomi Sifa ya mwanamke anayehitajika Mrefu kiasi lkn asifike ft 6...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha. Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate...
4 Reactions
115 Replies
10K Views
Hello! natumaini ni wazima, hongereni kwa majukumu ya kujenga Taifa letu. Moja kwa moja kwenye point, naitaji mchumba ambaye Mungu akipendezwa tuingie kwenye ndoa. Wasifu wangu: Mwanaume:umri...
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Ila mimi kila siku nakuja hapa.Sijui kwa vile I'm young nobody comments. Sawa lakini kuwa mdogo haijalishi I'm socializing like other people Nadondosha wasifu kwanza Age: 19 Marital status...
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Naitwa smart introvert, nakuja mbele zenu kutafuta rafiki wa kike ambae tutabadilishana mawazo na kujenga urafiki mzuri. Umri wangu miaka 28 na nafanya kazi kampuni moja. Naishi Dar na ni mkristo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello, I hope you are all fine,poleni na Majukumu ya hapa na pale back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa. Huu ni wasifu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi Kijana nina miaka 21 Ni gym trainer nilikuwa natafuta marafiki WANAOPENDA fittness kwa ujumla tupeane michongo na ma deal kadhaaa na kubadilishana mawazo KWA JINSIA ZOTE Location Dar es...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Ni DM kama upo serious tu tafadhali. Lengo ni mahusiano yatayopelekea ndoa, kwa hiyo nahitaji mtu aliye na uhitaji Mm ni jinsia ME, Umri wangu miaka 30, Mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Salam wanajukwaa, Mimi sio mgeni sana wala mwenyeji sana hapa jukwaani ila napiga hatua mbele ili kuweka kusudi langu mbele yenu. Awali ya yote naamini kila jambo na wakati wake, kusudi na...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
I'm Zagarino Natafuta friend wa Ku chat nae coz sms za Voda kila siku nimezichoka.. Mara umeishiwa salio..Dahh. Sina vigezo vingi mi sio mwanasheria age 19-24 Marital status no comment... Let...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika vitabu vya dini mbali mbali na misemo ya mababu zetu inasema ya kwamba 1. Mwanaume bila mke hajakamilika 2. Wenye akili wote wameoa 3. Ndoa ni kipimo cha akili n.k Yapo mengi mno ambayo...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe...
0 Reactions
2K Replies
171K Views
Back
Top Bottom