Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali...
Habari,
Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie...
Natafuta mke mwenye sifa hizi:
1.Dini mkiristo/mlokole kipaumbele
2.elimu kwanzia form 4
3.umri miaka 20 hadi 25 mwisho
4.urefu 6ft au 5.5ft
5.rangi siokipaumbele
6. mwili wa wastani
7.kazi sio...
Natafuta binti wa kuoa. Kama uko serious karibu DM.
Nakaa dsm, Kwangu/Nmejenga
Miaka 31
Kazi- Nmejiajiri kwa sasa ..ila professional yangu ni Engineer.
Sifa za msichana.
Awe anakaa dsm.
Miaka...
HABARI WANA JF!
MIMI NI KIJANA WA KIUME UMRI 28,NATAFUTA GIRLFRIEND MTOTO WA GATE KALI MAMBO SAFI UMRI 18-25,ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU NA KUENDELEA ,SIBAGUI RANGI,DINI WALA...
Natafuta mdada mrembo hata Kama Ni single mother tutalea maana nam Nina watoto tayari. Awe Ana uwezo wa kujielewa na kulinda mahusiano, level ya Elimu Diploma / Degree au zaidi sawa tu.
Pm iko wazi
Hi guys hope all is well!
Natafta msichana ambaye badaye atakuja kuwa mke halali wa ndoa.
Sifa zangu nna fanya kazi mwajiriwa lakini pia nimejiajiri,
Elimu yangu; Masters,
Umri wangu 35 na...
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa...
Habari wana jf ,Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35, nimejitokeza mbele ya wanawake wa jf wenye jinsia ya kike (mwanamke) nina uhitaji wa mke/mpenzi Niko tayari awe tayari kupima afya
Sifa...
Habari za jioni ndugu zangu wana MMU.
Bila kupoteza muda ni kwamba nina miaka 30, mkiristo, nina elimu ya chuo, nimejiajiri mwenyewe, nina urefu wa wastani.
Hivyo basi, kutokana na hizo sifa...
Nimejaribu ku act tatizo flani ili nione itakuwaje, aisee ni hatari tupu sio tu nme act but ni kweli limenitokea ila sio kwa hatua nilio ia act, mpaka mpenzi wangu hapokei simu.
Ila wadada kama...
Habari wana jamvi wenzangu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya. Narudi tena kwa mara nyingine baada ya kutokufanikiwa mara ya kwanza
Naomba niende kwenye...
Natafuta mke atakae kuwa tayari kuolewa, wasifu wangu ni
1- mrefu wa fit 5 na sm 8
2- nimejiajili
3- mkristo wa kkkt
4- umri wangu ni 40,
Sifa za mke ninaemhitaji awe:-
1- mkristo mwenye hofu ya...
Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF.
Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF...
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 27, nipo mbele yenu kutafta mwanamke ambae atakuwa mke wangu siku chache zijazo mbele.
Sifa zangu.
Mrefu,umbo la kati sio mnene wala mwembamba,mweusi,pia ninakazi...
Natafuta mke wakuoa! Mwenye Mapenzi Mema,Mcha Mungu
Mimi nina miaka 34 kwa sasa,nipo Dodoma nafanya kazi serikalini, Dini yangu ni Mkiristo Roman Catholic
Sifa za mke! Mwenye mapenzi mema,mcha...
Habari wanaJf.
Natafuta mke wa kuowa ambaye ni Mchamungu hata kama akiwa mgumba ni sawa tu. Nina watoto 4 (age yao ni 6yrs to 13). Mimi nina miaka 43. Mimi ni muislam wa vitendo na ninaishi Dar...
Hi to all. Me ni mwanaume 30 years of age, mrefu kiasi, Rangi mnaita Maji ya kunde au mweupe kiasi, naishi dar currently, nimeajiriwa in small private company. The problem ninayo naona ni very...
Habari wapendwa mimi kijana ambaye ni mwenye umri wa miaka 25 kwa sasa,si mtu ambae nilipenda kudinya dinya katika maisha yangu,,kwa sasa nataka nioe lakini bado sijapata mtu sahihi wa kuingia nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.