Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wakuu msaada kwy subject hapo juu! Natafuta mchumba wa kike,mwenye mvuto,mpole,intelligent but not on capitalization side,down to earth,young and elegant,mkristu pia awe amefunga kwaresma kama...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo 1. awe muislamu 2. awe mchamuungu 3. awe anapenda watu wangu 4. asiwe mpenda makuu 5. awe msikivu nipatikana kwa anuani hii kwa maelezo ya ziada...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimetoka Jukwaa la Siasa huko, yaani linafuka moshi kuhusu vuguvugu la kuvunja Muungano, baada ya kutafakuri kwa kina nikaona bora mie nichukue hatua za kuuimarisha huu Muungano badala ya kuuvunja...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Yeye anajiita "Non-Celebrity" akiwa na maana kuwa yeye sio mtu maarufu. Ameniomba nimuwekee hadharani nia yake ya kutafuta mchumba katika jamvi la WanaJF. Kwa kifupi amesema yeye anafanya kazi...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Ndugu zanguni mimi ni kijana wa kibongo miaka 30, mbantu halisi na mkrisitu. Natafuta mchumba. Sifa: awe mwarabu au Mhindi na pia awe mcha Mungu mkristu. Umri kati ya 20-25. Maisha ni majaliwa...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Naitwa Jef umri miaka 31( jinsia:mwanaume)natafuta mchumba umri miaka 23-31,sibagui dini,kabila,rangi,umbo wala elimu.mawasiliano:0713680829,Juma_Jafari@yahoo.com
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu mimi naitwa marwan niko kenya mombasa natafuta mchumba mzuri mwenye mpenzi la kweli awe na umri wa miaka 20 mpaka 23 yeyote mwenye yuko tayari anipigie +254702579780 ama emil...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
WanaJF wenzangu Salamu, Kumekuwepo na threads kadhaa za kutafuta wenza (wachumba, Marafiki, wake na waume) nafurahi wanaJf wamekuwa wakichangia kwa hali yoyote ile ili kuwafanikishia lengo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari za saa hizi Najua wengi wetu tumeishapona vidonda vya uchaguzi na mimi ndo nimemaliza hekaheka za uchaguzi naweza kupumzka nyumbani. Mapumziko yangu yamenifanya nitafute mwenza...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Jamani wanaJF, a) Wanaopenda kukandia karibuni b) wenye nia njema karibuni saaaana! Lengo Natafuta mchumba aliyekamili na tayari kwa ajili ya ndoa Sifa: i. Mlokole wa kweli ii. Kati ya 21...
0 Reactions
135 Replies
14K Views
Naomba mnijuze juu ya hili kabla sijpotea ndugu yenu
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Mhh, nimempata huyu mlimbwende , ila haka kamila kao kananiboa ,naweza badili msimamo!
0 Reactions
101 Replies
13K Views
Hii nimeitoa Michuzi blog, kwa wale vijana mnao tafuta wachumba kazi kwenu "Habari kaka Michuzi, Naomba unirushie tangazo langu Hili. Mimi ni msichana natafuta Rafiki ambaye yupo serious...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
hi ladies am immanuel am 25 yrs mimi ninaingia chuo maka huu nimepa chuo nje ya nchi huko mozambique urefu wangu ni wastani na rangi yangu ni maji ya kunde ninahitaji mpenzi awe mzuri elimu yake...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila mafanikio, imenibidi nije hapa jukwaani ili kama kutakuwa na matatizo ya mtu kama mimi basi tuweze kujiunganisha. Nipo serious katika hili na hakuna utani...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wana JF yoyote yule aliye tayari aniPM nimuunganishe na huyu mama anatafuta mchumba kwa udi na uvumba! Sifa kubwa nikuweza kuhimili turbo hilo maana likifunguka turbo hili kuzima ni Dk 25 baada...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
There is a say that "there is so many women but few wives"SO i need one from these few jamani! My introduction-Naitwa john miaka 25,nipo mwaka wa tatu chuo cha mlimani UDSM,kabila langu ni mhee...
0 Reactions
459 Replies
30K Views
Wapendwa wadada wa JF, Kwa heshima na taadhima naomba kuwafahamisha kuwa mimi natafuta msichana ambaye na yeye anatafuta mwanaume ili kuweza kufunga ndoa na kuachana na maisha ya Ukapera...
1 Reactions
54 Replies
9K Views
najua kuwa wako watakaotukana na hawakosekani pia watakaokashifu hatua hii lakini ndivyo ilivyo,awe she mwenye vidato au college umri 23 - 28
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.
1 Reactions
124 Replies
12K Views
Back
Top Bottom