Tunaomba ushuhuda walio pata wachumba humu ndani

mgendege

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
299
350
Watu wanatafuta wachumba Sana humu lakini mbona ushuhuda hawatupi walio wai pata wachumba kupitia jf humu ndani au tuna poteza muda tuu watu wana tania kutafuta wachumba

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mchumba tu?
Waliopata mume/mke?
Au waliobarikiwa watoto kupitia.JF?

Idadi ni kubwa sema, hakuna jukwaa la Ushuhuda.
 
Mimi nimempata mchumba na huenda tukafunga pingu za maisha siku za usoni. Anaitwa fainensho sevisez! Kwa sasa yuko masomoni huko ughaibuni.

Hivyo usikate tamaa mzee baba. Utampata tu mchumba umtakaye. Humu kuna pisi kali za kutosha tu.
 
Back
Top Bottom