Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Naitwa frank natafuta rafiki wa kuchat nae 0672759998 email; frankmoll61@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27 na mrefu. Rangi- Mweupe Elimu- Diploma ya ICT na Degree ya Sheria Nipo serious nahitaji msichana/mwanamke serious ambaye yupo tayari kuanzisha mahusiano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni Dm kama upo serious tu tafadhali. Lengo ni mahusiano yatayopelekea ndoa, kwa hiyo nahitaji mtu aliye na uhitaji Mm ni jinsia ME, Umri wangu miaka 30, mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Habarin wanaJamiiForums, hope mpo poa. Twende moja kwa moja on topic. Mimi ni mwanaume wa miaka 25 ninaishi Moshi Bar jijini Dar-ea-Salaam. Nimemaliza Chuo mwaka 2014, nimesoma IT, kwa sasa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari Ni kijana wa miaka 25 Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida. Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi. Nimejiajiri Ni msomi,mstaarabu na...
4 Reactions
46 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa... Najitokeza jukwaani kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia. Wasifu wangu Umri: miaka 30+ Dini: Mkristo RC Elimu: Bachelor's Degree Kazi...
3 Reactions
0 Replies
707 Views
Sihitaji Mambo Mengi Mimi Ila ninacho hitaji Ni Mwanamke ambaye atakuwa mke wangu. Mpaka nafikia hatua ya kumtafuta huku it means that Niko Serious na ninauwezo wa kumuhudumia na kumtunza...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Habari ya jioni wanajukwaa. Mimi ni kijana wa kiume. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti ambaye nilipanga aje kuwa mke lakini nasikitika shetani katia mchanga kwenye mahusiano yangu. Long distance...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Wakuu salaam?? Leo nakuja tena na uzi wangu huu Natafuta mchumba aliye serious na uchumba Mimi ni mwanaume Miaka 27 Mrefu wastani ,Mweusi wastani Najishughulisha na biashara za hapa na pale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu. Sifa zangu.. Umri 28 kidini ni...
39 Reactions
179 Replies
35K Views
Kwa mara nyingine narudia kukuomba wewe mrembo unaeishi Mwanza uwe na umri kuanzia miaka 23 hadi 30, kabila yoyote ipatikanayo kanda ya ziwa..... nakuhitaji uwe rafiki yangu, tukienda vizuri uwe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu. Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu. Naomba mniombee ndoto yangu itimie.
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Wakuu natumaini mko poa mimi ni kijana nina umri miaka 25 natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye mungu akijalia ndoa Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi na ninajitegemea naishi...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi hii tabia ya kila mtu naetafuta mke au mume kutaja na vigezo vingi ilianza wapi? Kuna wengine wanasema wanataka mume au mke mcha Mungu ukiangalia mwenyewe hata Bible au Qur'an hasomi wala...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Mimi ni Mwanaume miaka ni 32 natafuta Mke wa kuoa kabisaa mana nimechoka kuwa alone. Nahitaji Mke umri ni 24-30 Kama upo serious nicheki pm! Napatikana Njombe na nimwajiliwa wa serikali.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatuh. Mimi ni mwanaume Umri ni 29 Muislamu Nimesha ajiriwa Nahitaji mwanamke ambae awe mke wangu wa ndoa akiwa Muislamu itapendeza zaidi. Awe na umri usiozid...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni kijana mwenye miaka 26.Elimu nilifika fika chuo lakini sikufanyikiwa kumaliza.Lakini haikunizuia kuweza kutimiza malengo yangu kwani nilipambana na kujiajiri mwenyewe. Sasa wazazi baada ya...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Kwa mrembo aliye tayari natafuta dada wa kuzaa naye, awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 35. Mimi binafsi nina 38 na nina kazi nzuri ya kuweza kumhudumia mtoto. Nimeoa. Kwanini nataka mtoto nje ya...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
mim n msichan wa umr wa miak 22. Nafanyakaz ktk kampuni ya chakula. Mume ninaemtak awe kam mm und kuanz 24 -28 ambae yuk tayar aniPm
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu. Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom