Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wanajamvi, naitwa ***, jinsia ya kiume na mkazi wa Arusha mjini, lengo la thread hii ni kama inavyojieleza (natafuta rafiki wa jinsia ya kike) kwa lengo la kubadlshana mawazo na connections...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni wapi nifike kupata Dada poa.,nafikia Monduli nitakuwa bize sana kama wiki mbili mfululizo niambie hata kama town.
0 Reactions
37 Replies
14K Views
Hi jamani, Naitwa Marry nipo Mbeya, natafuta mchumba wa kunioa. Nina miaka 20 tu na elimu nlionayo ni ya Kidato cha sita, hivyo basi nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo; Awe mrefu wastani...
11 Reactions
164 Replies
48K Views
Salamu Wakuu. Husika na kichwa cha uzi hapo juu kwa dhati ya moyo mimi kama kijana wa kitanzania nimeamua kutoa nafasi kwa wahusika hapo juu kuwapa faraja na kuona wao pia ni watu wanastahili...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari marafiki zangu wa kwenye uwanja huu wa mahusiano! Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48 ambaye nina watoto tayari. Niliachana na aliyekuwa mke wangu miaka 8 iliyopita na hadi sasa nipo...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Hello Mimi ni kijana wa KIUME mtanzania umri wangu miaka 29,mfanyabiashara naishi dar es salaam Tanzania.Elimu yangu ni Bachelor degree.DINI YANGU MUISLAM NATAFUTA MCHUMBA MWENYE SIFA ZIFUATAZO...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Habari zenu nyote. Mimi ni msichana nakaribia miaka 34 soon. Nina maambukizi ya HIV namshukuru Mungu nipo vizuri naendelea na majukumu yangu kama kawaida .Naishi kanda ya Kaskazini Naleta ombi la...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nipeni mrejesho, maelezo na ushuhuda utafuatia baadae
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nipo serious nahitaji mwanaume ambaye ana hofu ya mungu.,, mchapa kazi awe amwajiliwa au kiajiajili yote sawa, , mkristo RC, mwenye kujua nini thamani ya mwanamke,kitu kikubwa haswa AJITAMBUE ...
13 Reactions
47 Replies
15K Views
Mimi ni kijana wa ki islamu. Umri wangu ni miaka 31. Nina mke mmoja na watoto wawili. Natafuta mke wa kuoa awe mke wa pili. Kama atapatikana tutaelewana. Hakuna vigezo wala masharti. Nipo serious
4 Reactions
94 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 40 na nina watoto 3. Ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Nahitaji mke wa kufunga naye ndoa mwenye sifa zifuatazo: 1. Mcha Mungu kweli wa dini yoyote 2. Asiwe mwajiriwa au awe...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mm ni mwanaume 32-36 yrs Mwajiriwa sekta binafsi. Elimu shahada ya uzamili Mkazi wa Dar natafuta binti wakuliwazana naye kimapenzi, mengine tutakubaliana kadri ya siku zinavyoenda. Sifa za binti...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Natafuta mchumba wa kike ambaye aliye ni muelewa awe maeneo ya Pwani hususani Dar es Salaam au Bagamoyo Mwenye upendo wa kweli umri wake uanzie miaka 21 na kuendelea dini awe mkristo itapendeza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina miaka 35 Sasa, mfanyabiashara, mkazi wa kibaha pwani, mkristo, mrefu kiasi, maji ya kunde,,graduate,,nina mtoto mmoja wa kiume, uzito 67kg Sifa ya binti/mwanamke naye mtaka, mrefu kiasi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina biashara ya kufanya na mdada yeyote mwenye utambuzi wa biashara aliyepo Mwanza. Kigezo ajue kupika vizuri coz biashara ni ya restaurant. Karibu PM
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, I am a lady of 25 yrs old, nimeajiriwa In a private sector. Mrefu, mwembamba & maji ya kunde. Ni mkristo (Anglican). Natafuta mwanaume ambae atakuwa rafiki then mchumba na Mungu akijaalia...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari za humu ndani wakuu,mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25,nimepanga hapa dar na nina jitegemea. Hebu ni saidieni sehemu nzuri ya kupata girlfriend maaan naona kama tokea nipange...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu kumekuwa na ongezeko kubwa la wadada wanatafuta wachumba humu JF, kama umewai kupata mwenza kupitia JF ..comment neno "ndio"
5 Reactions
695 Replies
77K Views
Huu uzi ni kwa ajili ya watu walio siriazi tu. Tunajua mapenzi ni kitu muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu, bila mapenzi Dunia ingekuwa ni sehemu ngumu pa kuishi. Kuna waliofiwa na wake/waume, au...
5 Reactions
154 Replies
11K Views
Habari!Mimi ni mwanamke wa miaka 30,Nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Najitokeza nikiwa na nia ya dhati kutafuta mume popote pale ndani ya Tanzania. Sifa ninazohitaji, Awe mkristo mwenye hofu ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom