NATAFUTA MARAFIKI WANAOPENDA FITTNESS

JMipicha

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
705
1,070
Mimi Kijana nina miaka 21 Ni gym trainer nilikuwa natafuta marafiki WANAOPENDA fittness kwa ujumla tupeane michongo na ma deal kadhaaa na kubadilishana mawazo KWA JINSIA ZOTE
Location Dar es salaam
WHATTSUP 0752446155
 
Mimi Kijana nina miaka 21 Ni gym trainer nilikuwa natafuta marafiki WANAOPENDA fittness kwa ujumla tupeane michongo na ma deal kadhaaa na kubadilishana mawazo KWA JINSIA ZOTE
Location Dar es salaam
WHATTSUP 0752446155
Mimi Gym naenda occursionally,
Mostly nakuwa na Monthly running Challenge zangu ambazo ni 200Km

Nahitaji sana kujua zile steps za Arobics maana wakati wa warm up (pre and post) napata shida sana kuendana na steps...
 
Gym trainer unalift bench 60 Kg... Nimeacha gym for three years ila 60 Kg kwangu ni kitu ninachokimudu mpaka sasa.

2015/6/7 nilikua na bench press 100 Kg reps 5.

Nasquat 80 Kg reps 8.

Shoulder press 50 Kg reps 10

Unless uwe unatumia poda na supplement zingine ndiyo maana unapiga hizo Kg.

Anyway mnaouliza gym kuna michongo gani gym kuna michongo ya kazi, biashara, yaani ni kama wewe unapokua kijiweni kwako na ukaambiwa Jumamosi kuna kazi ya kuserve kwenye sherehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom