Natafuta mke

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,431
Sifa zangu
Natoboa 30 muda sio mrefu
Nina kazi halali
Nina Ft 6
Elimu ya wastani kiasi lakini kwa mtaani kwetu ni mmoja ya watu wasomi

Sifa ya mwanamke anayehitajika
Mrefu kiasi lkn asifike ft 6
Chura kiasi
Elimu kiasi Frm 4-6
Sura iwemo kidogo (sio tukitaka kutoka namwambia tangulia nitakukuta)
Awe serious
Asiwe mchoyo
Mkristu
Sifa nyingine zinaendelea kwenye comments
 
Kila la heri katika safari yako. Hakuna namna. Mimi namsubiri financial services amalize kwanza masomo yake ya Shahada ya Uzamivu (PhD) akibobea katika masuala ya Usimamizi wa Fedha, kwenye moja Chuo Kikuu maarufu Nchini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom