Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habar wana MMU Nimejaribu kutafakar kidogo nikaona kuwa wadada wa MMU hawana ushirikiano unapo post uzi wa kuhitaji mwenza tofauti na kwa upande wao. Naomba kujua tatizo ni nn au ndio mpaka...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
ubachela nimeuchoka sasa nataka msichana/mchumba wa aina yoyote kabila ama dini yoyote tupange wote maisha awe mkazi wa Dar ama Moro iwe rahisi elimu sio kigezo awe anajua maisha tu, text...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta msichana (mrembo) awe rafiki wa karibu.serious and honest ladies NI PM.asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
npo mtwara kwa sasa, nasoma saut ya mtwara nahitaji kupata mwanamke ambaye baadaye atakuwa mke!awe na umri wa miaka 23 had 26 na awe anaishi mtwara,lindi au iringa!alie tayar anitafute kwa namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mm kijana wa miaka 23.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MIMI NI DADA WA MIAKA 29,MKRISTO,SINGLE,MPOLE NA MREMBO,SIJAWAHI KUOLEWA,SINA MTOTO. NINATAFUTA MCHUMBA/MWANAUME WA KITANZANIA AISHIYE SWEDEN KWANI NDIKO NA MIMI NINAKOISHI. NIMEAMUA KUCHUKUA...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Wana-jamvi, Nataka kuoa mtu mwenye sifa hizi. Leo tarehe 1.1.2014, nimeona nipunguze vigezo maana naona mabinti wameshindwa kujitokeza. 1. Awe mweupe, asitumie mkorogo. 2. Awe na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Binti mwenye muonekano mzuri na maadili mazuri wenye miaka kati ya 20-24, ni PM tuchat. Atakaebahatika kukonga moyo kuna ofa ya ndoa na kuendelezwa kimaisha ikibidi. ni PM tuchat nawasilisha.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
HI, natafta wadada wa kuchart nao umri 18+, karibuni,,0769 620 622
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hello kama unapenda kuchat na kuwa na marafiki wapya karibu!! 0713644485 number yangu kwa chat.................!! Am a Male na sibagui jinsia, umri wala dini
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
binafsi mwanzo niliamin kuwa kweli huenda watu wako makini na wanahitaji wachumba kweli! lakini kadili siku zinavyozidi kwenda nimegundua kuwa ni mchezo tu na wanaopost mada hizi hufanya hivyo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mim nikijana nina umri wa miaka 22 natafuta friend wa kike wakuchat nawo ila wawe pande za dom dar pwani... . jayiromarchant
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Samahani jamani naombeni mnisaidie kitu kimoja, kwa baadhi ya wanawake sehemu zao za siri huwa wana kitu kama kingozi kimetoka nje kama kidore! Je hicho ndio huwa kisimi chao kulingana na maumbile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitwa Kato natafuta rafiki wa kike miaka 18 hadi 23 nicheki katosylva@yahoo.com
0 Reactions
1 Replies
863 Views
heri ya xmas wakuu.mm ni mdada ambaye ni mwaminifu na mwenye heshima zangu.nilikuwa na mpenz wangu ambaye tulidumu kwa miaka ming sana ila akaja nisaliti.tangia siku hyo nikawa nawachukia wanaume...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Okyyyyyyyyyyyyyy!
0 Reactions
3 Replies
980 Views
nna miaka 28 natafuta mpenz wa kike mweny miaka 24 had 27,ili 2pange maisha,mi bado mwanafunz wa chuo kikuu npo mtwara kwa sasa ila ni mwenyeji wa mkoa wa iringa.!namba yang ya sim ni 0788225445...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari yako! Natumaini Xmas ilikuwa nzuri kwako, na natumaini fika mwaka mpya tutafika salama na kwa afya njema. Mimi ni kijana ninayeishi nje ya nchi, na natafuta rafiki wa kike ili tuwe na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom