Natafuta mchumba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba.

Discussion in 'Love Connect' started by vai, Jul 31, 2010.

 1. v

  vai New Member

  #1
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MIMI NI DADA WA MIAKA 29,MKRISTO,SINGLE,MPOLE NA MREMBO,SIJAWAHI KUOLEWA,SINA MTOTO.

  NINATAFUTA MCHUMBA/MWANAUME WA KITANZANIA AISHIYE SWEDEN KWANI NDIKO NA MIMI NINAKOISHI.

  NIMEAMUA KUCHUKUA UAMUZI HUU WA KUANDIKA KTK SITE HII MAANA MAZINGIRA NINAYOISHI SIKUTANI NA WEUSI WENZANGU NA SINA FEELINGS KABISA KWA WAZUNGU(IM NOT A RACIST THOUGH).

  NITAFURAHI KAMA ATANIANDIKIA KIJANA ALIYE SERIOUS MWENYE SIFA HIZI;

  MKRISTO,MWENYE MAKARATASI(MIMI NINAYO PIA),MWENYE KAZI,MPENDA MAENDELEO,ASIYEENDEKEZA STAREHE ZISIZO NA MPANGO,ANAYEHITAJI MCHUMBA KAMA MIMI,MUAMINIFU,SINGLE,MWENYE KUPENDA MAISHA YA UTULIVU.

  EMAIL YANGU NI= vai00@hotmail.com

  GOD BLESS YOU ALL.
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nakutakia matokeo mema,
  umelenga kwa Sweden .ningekushauri uongeze wigo kwa sehemu zingine duniani,ingawa ww uko sweden.
  Ila pia unaweza kupata mwenye hizo sifa sweden ,but what are the odds ?

  Oya vidume wenye sifa hizo Sweden karata hiyo imedondokea kwenu.
   
 3. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  I wonder haya masharti ya awe anaishi Sweden na makaratasi ni vipi. I am just thinking loud here, kama wewe ni msomi unaweza pata mchumba popote na mmoja wenu akamfuata mwingine. Ina maana asipopatikana kijana anayeishi Sweden mwenye makaratasi basi tena utazeekea huko kipweke. :fear:
   
 4. M

  Mutu JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nilicho hisi mimi ni kwamba binti mtafuta mchumba anatafuta mtu anaye mpenda kwa dhati si lazima awe na karatasi.
  Ila karatasi inakuja kuwa kigezo kwa kuwa watu wengi wamekuwa wanaoa na kuolewa kwa sababu za makaratasi ,sasa yeye kuwa ktk safe side na ku eleminate hilo tatizo na kujirizisha ndipo anaoptaka mwenye karatasi.
  Ila mimi bado namshauri atafute na kwingine cha muhimu ni kumfata mtu watakao match na ndio aangaliwe yuko wapi.Vinginevyo ni kama ulivyosema MNDEE anaweza asiwepo kwa sweden mwenye sifa zote ingawa umetumia lugha kali kidogo lol atazeeka kipweke anyway ndio ukweli.
   
 5. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Maji yamemfika shingoni.....! Kweli dunia hadaa.....ulimwengu shujaa..!
   
 6. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Tatizo tukimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa anaweza ngoja mchumba wa Sweden asipatikane. Pengine mchumba yuko Bongo, US, UK au sehemu nyingine. Yuko jamaa mmoja aling'a'ngana haoi mpaka mzungu, miaka inaenda mzungu anayemtaka hampati akaoa mbongo mwenzie saa hizi ametulia anabembeleza watoto:A S shade:
   
 7. M

  Mutu JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  uko sahihi sana ,hope atasika
   
 8. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,779
  Likes Received: 20,714
  Trophy Points: 280
 9. v

  vai New Member

  #9
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks kwa kunitetea kuhusu makaratasi.Pamoja na kuwa nimesema aliyeko sweden lkn kama atatokea mwenye sifa hizo kutoka nchi zingine pia sitakuwa na tatizo juu ya hilo.
   
 10. N

  Ngo JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwani walioko Bongo huwahitaji?
   
 11. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Achana na makaratasi, njoo tule bata huku kijijini kwetu, nini MAKARATASI bwana????
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  As far as segmentation is concerned... Ceteris peribus (age, sex, income, location...), she is not that serious
   
 13. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  All the best mwaya vai....
   
 14. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mungu akutangulie mpendwa,usikatishwe moyo na wachache au wengi waliozoea kuwakosoa wenzao kila wanapotangaza kutafuta wachumba hapa.usife moyo tangaza na ktk mitandao mengine utapata tu ila kuwa makini sana maana mtandaoni kuna wema na wabaya pia.kama ulivyoshauriwa panua wigo wa utafutaji wako.
  muombe mungu atakupatie tu haja ya moyo wako usife moyo maana hivi nakwambia juzi nimetoka ktk harusi ya shemeji yangu ambaye amemuoa mchumba wake waliyekutaniana mtandaoni na wanapendana na kuheshimiana kuliko hata wale waliokutaniana sunday school.
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Cheusi i missed u like crazy..
  Upooo?
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  Mkuu boss hii ni issue ya kutafuta Mchumba mambo ya Cheusi tena wapi na wapi?
  Umeoa lakini?

  dada Vai pole sana naona kweli uko serious na hope utafanikiwa, lakini inabid uwe makini mno kama walivyokushauri wadau, haya mambo ya kwenye mitandao yana mengi watu wanapretend sio kidogo na unawezakupata shida sana ya kuselect, fanya mpano wa kurudi bono japo kwa muda na pitapita sana kwenye nyumba za ibada nadhani unaweza kupata mtu ambaye unaweza kumtrace tabia na history yake

  mafanikio mema dad VAi
   
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nipo kaka yangu,it feels veeery nice kusikia kuna binadamu somewhere ananimiss,thank yuou.mwenyewe nimekumiss sana.
  lav you kaka!!.
   
 18. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  aaah kituko acha hizo bana ujue hata msibani watu wanacheka so mie na braza the boss kwenda off-key kidogo sio mbaya maana ndo kwanza tunakutana baada ya kupoteana kwa muda mrefu.ucjali lkn natumai hujambo.
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Hii contradiction inachekesha sana.

  Mtu racist ni yule anaye discriminate mambo yasiyohusiana na race kwa kutumia race. Wewe una discriminate mchumba kwa mujibu wa race, halafu unasema "I am not racist though.

  Could it be that you are so self conscious about your racism to the point that you feel the need to mention it apologetically.

  Kubali tu, ukiwa hutaki kuwa na mchumba wa race nyingine wewe ni racist, that is only natural, we all have a degree of racism in us, it may even be unconscious.
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kiswahili kigumu ..................kakusudia roho haimpigi akiona wazungu kwa hiyo bora tu ajichukulie mbongo mwenziwe!

  btw i personally believe kila mtu yuko racist somehow (which some call favouratism) ....tunatofautiana the degree tu.
   
Loading...