Nataka kuoa: Awe na sifa hizi

Acuity

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
391
170
Wana-jamvi,

Nataka kuoa mtu mwenye sifa hizi. Leo tarehe 1.1.2014, nimeona nipunguze vigezo maana naona mabinti wameshindwa kujitokeza.

1. Awe mweupe, asitumie mkorogo.
2. Awe na makalio/----/hips za kutosha.
3. Awe na elimu ya Chuo kikuu.
4. Mchangamfu, mcheshi.
5. Awe ni Mtanzania, kabila lolote.
6. Awe tayari kufunga ndoa na mimi Mwezi August 2015.

Please mwanamke mwenye sifa hizi au ana rafiki yake mwenye sifa hizi, ani-pm haraka sana tuanze kuwasiliana. Niko serious!
 
Acuity

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
391
170
andika zako kwanza ndio wakutafute.....

Tukionana atahiyari kunikubali au kuniacha. Lakin mimi ni kijana mtanashati na handsome mwenye elimu ya wastani - Masters, naishi U.S.A. Nina umri wa miaka 30. Msichana awe na umri usiozidi miaka 25.
 
Kiwa

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
2,106
1,250
mtu mwenyewe inawezekana hela huna, mapenzi huna,elimu ya kuunga unga halafu unakuja na vigezo kibaaaao!!!!
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,991
2,000
Tukionana atahiyari kunikubali au kuniacha. Lakin mimi ni kijana mtanashati na handsome mwenye elimu ya wastani - Masters, naishi U.S.A. Nina umri wa miaka 30. Msichana awe na umri usiozidi miaka 25.

umesahau kuwaambia na ATM yako ina kiasi gani.
 
promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,709
1,195
Wana-jamvi,

Nataka kuoa mtu mwenye sifa hizi:

1. Awe mweupe, asitumie mkorogo.
2. Awe na makalio yenye ukubwa wa wastani
3. Awe na elimu ya Chuo kikuu, Only first degree but not B.A in education
4. Mchangamfu, mcheshi.
5. Awe ni Mtanzania, kabila lolote but more preferably Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro and Kagera regions.
6. Awe tayari kufunga ndoa na mimi Mwezi August 2015.

Please mwanamke mwenye sifa hizi au ana rafiki yake mwenye sifa hizi, ani-pm haraka sana tuanze kuwasiliana. Niko serious!
Weka picha tafadhali tena ukiwa umesimama mikono juu..
 
Acuity

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
391
170
Jamani mbona sioni pm zenu?? This is serious. Ukini...pm tutapeana picha kila mtu amwone mwenzie.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom