Wadau,
mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo
Natafuta mwanaume wa...
Nafanya hivi baada ya kupumzisha kichwa changu kwa kipindi kirefu kidogo baada ya kufanyiwa mambo ya ajabu na aliyekuwa mchumba, namanisha natafuta mchumba mi mwanaume wa miaka 36,elimu chuo...
Mm ni kijana natafuta mke wa kuoa sijali umri wala dini,mnene sana nitampa kipaombele,aliye tayari 0767 777071 au bameclline@yahoo.com
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kiukweli mda wangu umefika ss wa kutaka kustick na one guy atakaenipenda nimpende mpaka kufa!sifa awwe anajitambua,smart boy,employed or self employed,hofu ya Mungu ila awe mkristo!nimeshawahi...
Eeeezy! I hope wote ni wazima,naitwa Sean,nahitaji marafiki pls,mie napenda muziki,kuogelea,beach na mambo mengine mazuri. If u need a friend who can support u(with ideas haha)share experience and...
Natafuta mwanamke kuanzia miaka 25 mpaka 35 awe mkristo...Kabila lolote.Mimi ni mtanzania niliyekaa nje ya nchi(Europe)kwa miaka mingi ,nimerudi nyumbani kuishi na anayehitaji anipm tutaanza na...
habari zenu nyote humu ndani mimi ni mgeni kabisa kwa hii forum but kuna kitu nimejifunza kuna baadhi ya watu hawako serious kabisa kiasi ambacho wanawaharibia baadhi ya wenzao walio na uhitaji...
Kuna dada mmoja ambaye anafuatiliwa kwa saana na kaka mmoja. Mwanzoni huyo dada alianza kuufungua moyo wake kama amkubalie,lakini kadiri walivyoanza kuzoeana huyo dada amegundua kwamba mwenzie...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, Niko chuo mwaka wa nne sasa ila natafuta girlfriend awe mwaminifu. Awe anaishi hapa hapa Dar es salaam. Pls if uko interested ni PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.