natafuta mchumba

natafuta mchumba

dtf

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
121
Reaction score
12
heri ya xmas wakuu.mm ni mdada ambaye ni mwaminifu na mwenye heshima zangu.nilikuwa na mpenz wangu ambaye tulidumu kwa miaka ming sana ila akaja nisaliti.tangia siku hyo nikawa nawachukia wanaume sana.sasa imefika wakati nataman kuwa na mtu na mungu akipenda aje kuwa mume wangu.mm ni mwanafunz wa IFM nasoma account second year
 
Nawaogopaga sana wanawake/wasichana wa ifm! Ni bora kwenda kona bar ambako utakutana nao hawa hawa kuliko wa chuo ambaye atajifanya mwaminifu kumbe ni ngoma ya kila mwenye gari pale posta!
 
Kaombewe maana huwezi kumpata mwanaume wa kukuoa kupitia jf.
 
kuwa muwazi kwamba unatafuta mwanaume wa kukulea, tangu lini mtu akawa na dem IFM? wote makanjanja tu. mtafute madame b akusage, nasikia ni msagaji ila sina uhakika.
 
Dunia ina mambo kweli
eti mimi mwaminifu na mwenye heshima kwa vigezo vipi wewe ni kanjanja kama makanjanja wengine waliopo mtaani yani hapa unatafuta dude la kuchuna tu
nani kakwambia kuwa mume bora hutoka jf
nakushauri soma na anza kutafuta plann za maisha achana na maswala ya kusaka watu mtandaoni tulia mungu hapo ulipo kila kituu kakupangia tuliza akili
heri ya xmas wakuu.mm ni mdada ambaye ni mwaminifu na mwenye heshima zangu.nilikuwa na mpenz wangu ambaye tulidumu kwa miaka ming sana ila akaja nisaliti.tangia siku hyo nikawa nawachukia wanaume sana.sasa imefika wakati nataman kuwa na mtu na mungu akipenda aje kuwa mume wangu.mm ni mwanafunz wa IFM nasoma account second year
 
Nawaogopaga sana wanawake/wasichana wa ifm! Ni bora kwenda kona bar ambako utakutana nao hawa hawa kuliko wa chuo ambaye atajifanya mwaminifu kumbe ni ngoma ya kila mwenye gari pale posta!

una maono mazuri kweri
 
kuwa muwazi kwamba unatafuta mwanaume wa kukulea, tangu lini mtu akawa na dem IFM? wote makanjanja tu. mtafute madame b akusage, nasikia ni msagaji ila sina uhakika.

ha ha ha kwa Madame B panamfaa zaidi
 
Last edited by a moderator:
Ifm jina lenyewe presha tupu!! Pale posta kama unapitapita na wale masimba hawajakuaproach bac utakuwa mbaya so nasepa!
 
Nadhan njia uliopita umekosea
Rudi nyuma kisha kata kulia, utaona
Barabara ya rami, pole kwa kupotea
Ila sasa hutapotea dada, safar njema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom