Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari yako! Natumaini Xmas ilikuwa nzuri kwako, na natumaini fika mwaka mpya tutafika salama na kwa afya njema. Mimi ni kijana ninayeishi nje ya nchi, na natafuta rafiki wa kike ili tuwe na...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Jaman Aa Wnawake Jf Sio Sana Nhc Weng Hawxal
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Lkn awe anajua kufanya mahaba
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Najitokeza tena hapa!!!,natafuta mke,naitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuanza maisha ya ndoa,naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe na nia na dhamira ya dhati...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Tabia: mpole,mcheshi,mvumilivu, asiwe mlevi. Dini: mkristo awe na hofu ya Mungu. Umbo: mwembamba kiasi asiwe mnene, awe size si mrefu wala mfupi sana. Elimu: awe amesoma atleast form six Kazi: awe...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
natafuta rafiki,...msichana
0 Reactions
0 Replies
680 Views
natafuta mpenz msichana, elimu c kigezo ila awe na umri ucozd miaka 23 na c pungufu ya 18, lakn pia awe na mapenz ya dhat anayewiwa kuwa na mm antafute 2ongee private.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bajeti yangu nasubiria ipitishwe na bunge la ubongo wangu. Kwa siku tatu tu.. Yaani leo usiku mkesha... Kesho sikukuu, Na kesho kutwa Tunaachana... Ukuwa serious ni PM!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni kijana natafuta mwanamke kuanzia miaka 22-26 awe mpenzi wangu sichagui dini wala kabila awe maji ya kunde au mweupe kiasi uwe na elimu kuazia diploma na kuendele.....kwa alie tayar ani MP
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Salama wakuu.... jamani lazima kuhama ndio sikukuu or ndio kufurahi ? mimi niko kariakoo karibuni sana ndani ya mita 300 utachagua kila kitu ukipendacho chakula ? hotel ...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Habari zenu wanajamiiforum Mimi nikijana wa miaka 30 naishi Dar maisha yangu ya wastani sio ya juu sana na wala sio ya chini pia elimu yangu ni ya kawaida tu Shida iliyoniweka hapa mtandaoni ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya...
0 Reactions
2 Replies
889 Views
Mi ni mkristo, nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 28-42 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asitumie...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habari ndugu, jamaa na marafiki..... Sina ratiba yoyote katika hizi siku kuu jamani kama upo mpweke kama mimi naomba tuwe kampane!! 0713644485 my number kwa walio serious tu
0 Reactions
0 Replies
873 Views
WanaJF, heshima kwenu hasa wanaothink positively. Ebana ee, msala, kuna mmama mtu mzima flani hivi japo si sana, ana umri wa 38 yrs na anafanya kazi benki kama mkuu wa idara, kifupi yuko vizuri...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
kama umejiunga na whatsup inbox ur number or ask my tujuane zaidi ofcouse am male
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Hello, Colins 28 Male frm Dar. Want a friend(any gender),kama utapenda pls nicheki kwa bbm pin 7A2A5513 au email wvevee@yahoo.com. asanteni
0 Reactions
1 Replies
761 Views
wengi humu wanafanya mzaha,ila tafadhari huu siyo mzaa natafuta mchumba/mdada wa kikristo, anayempenda MUNGU.wewe uliye na shida kama yangu tuwasiliane tuma kwenye inbox yangu, nikupe details zangu
0 Reactions
2 Replies
838 Views
natafuta mature lady wa ku chat naye...awe from 30 yrs ...my email:mateosho@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Am a single girl searching for a guy ambaye anajielewa, mrefu, msafi, well educated, mwenye ambitions, pia awe mkristo. awe na umri btn 28 en 32.
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Back
Top Bottom