Tatizo mnaweka vigezo ambavo hatuna,, na sie wa darasa la saba mtupe nafasi.
Hapana sio kweli,sometimes unaweka vigezo ambavyo kwa yeyote alie serious anaweza ku afford bt hakuna anaejitokeza.
Naona mwaka huu labda tuanze na picha labda itasaidia
Ukitaka waje hebu andika kua unaishi USA au Uk , utaona matokeo...
Tatzo wadada weng kwa sasa mpo kimaslah zaid,,
Habar wana MMU
Nimejaribu kutafakar kidogo nikaona kuwa wadada wa MMU hawana ushirikiano unapo post uzi wa kuhitaji mwenza tofauti na kwa upande wao.
Naomba kujua tatizo ni nn au ndio mpaka tueke picha,,