Hivi kipimo chako cha urembo ni nini maana nina uhakika wanaume tunatofautiana kutathmini urembo wa mwanamke. Wewe unaangalia vigezo gani wasije wakajitokeza wasiokidhi vigezo. Kuwa muwaziNatafuta msichana (mrembo) awe rafiki wa karibu.serious and honest ladies NI PM.asante