Hello everyone,Collins here just looking for people to talk to,good friends out there that we can atleast share experience,advices and my support if I'm at a position regardless of gender or...
Mimi ni mdada nina miaka 31 nipo Dsm natafuta mpenzi nimechoka kuwa single, awe na kipato cha kueleweka umri kuanzia miaka 35 na kuendelea asiwe mume wa mtu mi nafanyakazi.
Naishi dar ila kwa sasa niko home tarime mara na nitakaa zaidi ya miezi sita.natafuta mpenz wa kunipa faraja kutoka tarime.au hata kama una rafiki yako huku unaweza niunganisha nae
Mimi ni mwanaume miaka 29 naishi kanda ya ziwa nimeajiliwa na elimu yangu ni chuo kikuu, Najitokeza hapa kutafuta Mwanamke umri miaka 20-26 tu, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea...
Mimi ni kijana wa miaka 35, Nimejiajiri, na nayamudu maisha yangu.
Kipato changu ni cha wastani na nashukuru maisha yangu si mabaya.
Natafuta mwanamke mwenye umri huo, mwenye moyo mpweke...
Mapenzi ni sanaa na kila mtu ana ulevi wake katika mapenzi.kwa dhati toka moyoni mimi hupenda sana kudate na wanawake watu wazima!!hivyo basi kwa mwanamke yoyote wa makamo anayeishi MOSHI AU...
If I could change one thing about me I wouldn't change a thing. I'm perfectly imperfect. I strive to better myself in the eyes of the God. I'm single because I am a woman of substance and I...
Habari wadada / wanawake, kama wewe ni mpweke kama mimi na ungependa kupata kampani kwa siku hizi za sikukuu na hata baada ya sikukuu naomba tuwasiliane na kupeana kampani!! 0764644485 number...
Habari wanaJF! Umri wangu ni 32yrs, Fani inayoniweka town ni Udereva, Elimu ni ya kidato cha 4 (passed), Makazi Tegeta (nimepanga), Uraia mTZ, Maritor status Single. HITAJI: Marafiki waaminifu wa...
Wanajamvi hakuna mzaha.
Awe na miaka 30 mpaka 43! Sihitaji anizalie nna watoto wawili wanantosha! Awe mnene mwenye mgongo ambao kila ntakapokuwa nae hata wanawake wenzake watatamani hilo tako...
kama kichwa kinavyosema. elimu at least form 4, dini yeyote. upole na ukarimu ni added advantages. mi ni 27 yrs old. mkristo. naweza kukutunza, kukugegeda, kukupenda na kukulinda. ambaye yuko...
Natafuta Mke wa kuwa nae kama KAKA na DADA umri wowote ule.Mimi umri wangu nina miaka 45,niko serious na nina nia ya dhati na thabiti,MWANAMKE yoyote aliye na utayari tafadhali PM au tuwasiliane...
Habari wana Jamiiforums ni mvulana umri 28, naishi kibaha,ni graduate bado sja ajiriwa, ila kuna sehem najitolea, natafuta mke wakuoa elimu form 4-masters, awe wakawaida sina ubaguzi wa kabila...
Mimi ni kijana nahitaji mwanamke alie tayari kwa mahusiano ya muda mrefu,nipo Mby kwa sasa kikazi,kwa alie tayari aje pm kwa maelezo na kufahamiana zaidi,umri usuzidi miaka 30 na walau urefu ft...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.