ndugu wanajf natumaini mko powa. natafuta mrembo msomi mkristo anayejiheshimu katika nyanja zote. popote alipo ndani na inje ya nchi kwa ajili ya kujenga maisha kisomi. mimi ni mwanaume mtanzania...
Wana jf amani iwe kwenu nyote. Habari zenu wapendwa? kwa sasa nimeamua kutafuta jiko la ukweli.
Mimi ni muislam naishi shinyanga kikazi ila ni mzaliwa wa Lushoto Tanga. Ambaye yuko tayari na ana...
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka ishirini na tisa nimeajiliwa katika idala moja wapo ya serikali.
Ninatafuta mwanamke mwenye umli kati ya miaka 18 mpaka 28
sifa za ninae mhitaji awe na elimu...
Nasikia wanawake kuanzia umri wa miaka 40 wana mapenz matamu sana so aliyetayari anitafute kwa namba 0659760575. Sifa. 1.asiwe na mme 2.awe na miaka 40 na kuendelea. 3.mwenye hela. 4.awe tayari...
Mi ni kijana,me-sex toka tz,nna 28,niko na job,inaniingizia 300,000/mnth nalook 4 the true fiancee frm ky,awe a ngalau na qulfctins hz;
-christian.
-fighter.
-black-pure afro.
-elite.
-modern...
Natafuta mke kuanzia miaka 25-31, awe angalau kafika kidato cha 4 na kuendelea. Awe tayari kupima na hata kama ana m\watoto sio mbaya wasizidi 2.
Mimi ni mwanaume nina miaka 34 elimu shahada...
Kwa jina SULEIMAN ninaumri miaka 29,kabira mama mpare baba mnyamwezi,mrefu kiasi,si mwembamba wala mnene,mweupe wala mweusi,ni kati kwa kati,dini muislamu,elimu chuo kikuu,mfanyabiashara mdogo na...
anyone who is ready to chat with me in english he/she is invited. time for chatting will be from 22:00 to 00:00 am.
chatting without any restrictions (unconditional chatting).
Jamani nina swali. Hivi mwanamke kupenda kukaa na mme wake mda mwingi ni kuonyesha upendo au ni wivu wa mapenzi...wengine hawataki kuona unatoa mguu nyumbani ananuna kama nini .... akiona...
Habari wadau, kama upo mpweke kama mimi naomba tuwe friends na kubadilishana mawazo na hata outing pia kama itawezekana!!
KAMA HUTOJALI KARIBU SAANA. ni pm kwa maelezo na mawasiliano zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.