Mapigo Saba
Senior Member
- Dec 11, 2014
- 129
- 28
Mimi ni mwanaume miaka 29 naishi kanda ya ziwa nimeajiliwa na elimu yangu ni chuo kikuu, Najitokeza hapa kutafuta Mwanamke umri miaka 20-26 tu, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe mrefu, mwembamba wa wastani na mkristu.
Awe Ameajiliwa/kujiajilia akiwa Mwalimu au Nurse itakuwa poa sana but not limited, kwa waliotayari wani-PM.
Awe Ameajiliwa/kujiajilia akiwa Mwalimu au Nurse itakuwa poa sana but not limited, kwa waliotayari wani-PM.