Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari za JF, Ni mara ya pili nakuja kutafuta mke wa kuoa hapa jf.Vigezo vyangu ni vilevile Nawasilisha
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu brothers and sisters. Wakubwa zangu, heshima kwenu pia. Mimi ni mgeni kwenye site hii. Baada ya rafiki yangu mmoja kufanikiwa kupata mke umu JF, nami nimeamua kuja katika jukwaa hili...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Jinsia Yangu Ni Mvulana na 31yrs,maji ya kunde,naishi dsm,mkristo,kabila langu ni mpimbwe,mchumba Nimtafutae Msichana awe na Umr 25-36,elim kuanzia kidato cha 6,sina ubaguz na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi Dar es Salaam Ni PM kama upo tayari.
0 Reactions
88 Replies
9K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 naishi jijini mwanza na ni mwajiriwa serikalini.Natafuta mwanamke mwenye matako makubwa awe mpenzi wangu na baadaye tuoane.Awe mweusi na mwenye umri...
0 Reactions
59 Replies
32K Views
Habari! naitwa Paul natafuta Mchumba wa Kike kwani nahitaji kuoa soon,Elimu yangu Diploma of Education,umri wangu 29,maji ya kunde pia nipo smart,nafanya Kazi Dar,sio Mrefu wala Mfupi,vigezo awe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serious natafuta marafiki wasio kua kwenye mahusiano yaani single tubadilishana mawazo namna ya kupata wenza. Iwe mwanaume au mwanamke bora karibu PM tuchat. Kila mmoja atuambie ilikua kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu Wa Jf,Heri Ya Mwaka Mpya! Nimara Yangu Ya Kwanza Kujitokeza Jf. Jinsia Yangu Ni Mwanaume Natangaza Nia Ya Kutafta Mke Wakuoa Mwenye Vigezo Vifuatavo Mweupe,mcha Mungu,mrefu Na Mnene...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Iam a Graduated Man Aged 27-30yrs,I Live at Dsm,christian,I Do not have achild,iam not Drunker man Of Alcohol And Smoker,already Being Employed.A Women I Want amiability,white Brown,honest,true...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Anayefanya kazi mkoani, aliye serious anipm.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear Jf members as I said above I need the girlfriend who will be with me. If you are ready just find me On PM. That's all for the moment. Thanks.
0 Reactions
0 Replies
795 Views
ukweli ni kwamba nina miaka 25 lakini cjawah kupata mwanamke zaidi ya kujisingizia tu kwamba yule ni demu wangu lakin c kweli watu mtaani waniona mjanja na wanawake wananiheshimu sana kwa kujua...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
wapendwa salam sana Mim ni kijana wa umri wa miaka 23, nipo Dar es salaam, na mwanafunzi ktk chuo kikuu cha...! I m just a man of simple ways.napenda sana amani, nachukia waongo na mambo yao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello there mim ni ME Natafuta demu aged between 20 - 25 wa kupiga nae urabu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye my late 20's nilikuwa ninatafuta rafiki wa kike kwa ajili ya kubadilishana mawazo mbalimbali ya kimaisha na kufahamiana zaidi. Wasifu wangu 1. Mfanyakazi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kijana wenu SUPU YA MAWE nitakuwa ndani ya jiji la Mbeya kwaajili ya Christmas na Mwaka mpya, jumanne nitakuwa hapo Mbeya maeneo ya Iyunga ndio nitakuwepo. Kwa bahati mbaya...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuna mwana-jf nampenda sana kutokana na uchagiaji wake, pia anaonekana ana hofu ya mungu kubwa sana. Lakini mimi naogopa kumfuata pm kutokana na komenti zangu, kuna komenti moja nilikomenti...
0 Reactions
175 Replies
14K Views
Heri ya xmas wana jukwaa. Kidogo mi sio mwenyeji sana hapa,naomba mnikaribishe. Nimekua nikidate na wanawake wa kiswahili kwa mda mrefu na ni wanawake tofauti tofauti, lengo langu hasa alikua...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Am still searching for you, hope you can read this. Please come asap, lonely killing slowly. Pm me girls. Only short listed lucky girls will be contacted. OVER
0 Reactions
2 Replies
902 Views
habarn za asbh mi in me Wa 28yrs natafuta mwanamke Wa kuish nae ht kama kazaa kaachwa/katelekezwa ntaish nae tuu.sifa awe mkaz Wa singda.awe na kamzigo nyuma.maji ya kunde au black...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Back
Top Bottom