Natafuta mpenzi

Tatus

Member
Dec 19, 2014
31
39
Mimi ni mdada nina miaka 31 nipo Dsm natafuta mpenzi nimechoka kuwa single, awe na kipato cha kueleweka umri kuanzia miaka 35 na kuendelea asiwe mume wa mtu mi nafanyakazi.
 
Hongera kwa kuwa muwazi. Mungu na akupe hitaji la moyo wako.
mimi ni mdada nina miaka 31 nipo Dsm natafuta mpenzi nimechoka kuwa single, awe na kipato cha kueleweka umri kuanzia miaka 35 na kuendelea asiwe mume wa mtu mi nafanyakazi.
 
haaaa haaaa hapa sijafikisha miaka tajwa ngoja nikae kando hero ya sikukuu
 
All the best of luck in that regard. Mungu akupe chaguo sahihi
 
ayaa tupe na cv zako za tendo,umevunja amri ya sita mara ngapi?na idadi ya wapenzi wako wa awali ni wangapi? umejaza haice,coaster au bus ya 65 passengers?umetoa mimba ngapi?umefumaniwa mara ngapi?umechukuwa waume za watu wangapi?umegombea mabwana mara ngapi?umelala nje ya nyumbani kwenu mara ngapi?umeenda kwa waganga wa mapenzi mara ngapi?umetoroka mara ngapi baada ya kunywa bia za watu?,una watoto wangapi?umeenda kinyume na maumbile mara ngapi? kwa kuanzia tupe status yako kwa haya maswala ya msingi....wish u a good luck..
 
acha utoto wewe....
 
Acha kudhalilisha wanawake mtu kutafuta mwenza haimaanishi kuwa yeye ni malaya. Hivi kwa mfano angekua dada yako au shangazi yako ungemuuliza maswali haya?
 
Mimi ni mdada nina miaka 31 nipo Dsm natafuta mpenzi nimechoka kuwa single, awe na kipato cha kueleweka umri kuanzia miaka 35 na kuendelea asiwe mume wa mtu mi nafanyakazi.

Dear Mungu akupe haja za moyo wako in Jesus name, Amen. Thanks!
 
ayaa tupe na cv zako za tendo,umevunja amri ya sita mara ngapi?na idadi ya wapenzi wako wa awali ni wangapi? umejaza haice,coaster au bus ya 65 passengers?umetoa mimba ngapi?umefumaniwa mara ngapi?umechukuwa waume za watu wangapi?umegombea mabwana mara ngapi?umelala nje ya nyumbani kwenu mara ngapi?umeenda kwa waganga wa mapenzi mara ngapi?umetoroka mara ngapi baada ya kunywa bia za watu?,una watoto wangapi?umeenda kinyume na maumbile mara ngapi? kwa kuanzia tupe status yako kwa haya maswala ya msingi....wish u a good luck..

You are HIV Aladeen.
 
Ina kuaje miaka 31 huna mchumba hehehehe ulikua una piga vya mbavu nn sasa wame kususia unatafuta mwenyewe wanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom