Wadau poleni na majukumu. Mimi ni mwanaume umri miaka 31 naishi dar nimeathirika na vvu. Hivyo natafuta mke mwenye vvu ili tuishi kwa matumaini. Nimetafakari muda wa kuoa umefika.Nina afya njema...
samahan wa love connect ,,,
mchumba ameshapatikana naomba msinitafute tena na.ahsanten kwa ushirikiano wenu...nawapenda sana na Mungu awabariki. Tuzidi kuombeana mema zaid na zaidi.
Habari zenu wana Love Connect,
Mimi kijana mwenzenu najitokeza hapa kutafuta mwanamke ili awe mchumba wangu Na badae tuje tuwe in familia, Mimi nimeajiriwa Serikalini na nipo Kanda ya Ziwa...
Me ni mpenzi wa dona na vyakula vya asili sana, vicvyo kaangwa,
mabagga, masoseji na maartificial yote kwang co upendeleo sana
sifa zngne awe mwembamba na acwe mfupi
tuwacliane pm kwa...
Natafuta mdada wa kumuoa,mimi kijana wa miaka 25,elimu yangu ni ya chuo.nimeajiriwa mwaka 2015
namtafuta binti wa kumuoa awe na sifa hizi :-
1.Awe Muislamu.
2.Mcha mungu na muuumini wa kweli...
Nimehangaika sana nikimtafuta mke wa maisha yangu kwa mda mrefu. Wengi walio jitokeza hawakuwa na nia ya dhati ajabu nimekutana na mtu ambae ananjia inafaa katika maisha yangu kwa njia ambayo hata...
Mimi ninaumri wa miaka 25 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 18-24 awe na sifa zifuatazo;
-Mcha mungu na mwenye mapenzi ya kweli
-Elimu 4-6
-Asiwe mnene sana
-Sichagui kabila wala rangi...
Habarini wote,
Naomba nieleweke kuwa mimi nahitaji mwanamke mmoja (sio mke) kwaajili ya kutumia pesa nilizo nazo,nina hela kwakweli na pia zitamridhisha kwa muda mrefu tu japo siwezi kusema ni...
Habari za leo ndugu zangu,
Mimi ni mkazi wa Arusha ila kwa bahati nzuri nimepata kazi mkoani Singida, kutokana na ugeni napenda kupata marafiki waliopo Singida mjini, na pia wawe watu wazima...
1.Mwenye adabu na unyenyekevu.
2. Kujari na kuthamini familia na jamii kwa ujumla.
3 Elimu yaani mwenye kujitambua yy ni nani.
4. Mkarimu asiwe mkimya kimya awe mchangamfu kwa watu.
5...
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafiki yangu mpenzi mume wa maisha na katika maisha.
Awe mkristo, awe anajitambua kama mwanaume halisi, awe na mwili...
Natafuta marafiki wa kuchat nao iliwanikeep busy katika kuondoaa huu upweke nilionao coz tayari nishatendwa yani sometimes mpaka nahisi akili inaganda coz of stress. But nimejuta mimi kupenda...
Habari za kazi wana jamvi wenzangu,
Najitokeza hapa kumtafuta mwanamke ambaye tuje tuwe na malengo ya kujenga ndoa yetu.Mimi ni muajiriwa wa serikali na sijawahi kuoa na wala sina mtoto ndyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.