Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta rafiki wa kike alie tayari aje pm.
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Hi JF, Iam edwin 26.5 yrs i belong to Jesus and Sabath keeper, not educated much but high.. not employd. am tall, medium thin, midium blak, SEARCHING for serious generic woman medium size under...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
I am a girl of 24 years old. I am looking for serious relationship. If interested, PM me.. I will respond as soon as possible.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mi ni boy wa miaka 25 kutoka Arusha natafuta mpenzi wa kike aliyenizidi umri kutoka sehemu mbalimbali but Arusha is recommended.Kigezo kikubwa ni kua msichana huyo umri wake uwe umeanzia miaka 27...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Business business business business business......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu habari za leo, Jamani mimi natafuta mwanamke umri kati ya 19-30 awe Muislam awe anajua maana ya maisha awe mpambanaji wa kutafuta maendeleo hata kama bado hajayafikia. Awe tayari kuingia...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
asanteni sana
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Nina 24 age, nataka rafiki wa kike aliye popote awe 18~25 of age. Kama yupo ani pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo. Katika maisha nimejifunza mengi baada ya kukutana na mengi, imefikia point naishia kusema "ninge" well hayo yameshapita na hope kuto walk thru those paths tena. Haya sasa I know Im...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu, Mimi nahitaji mwanamke mwenye sifa hizi; -Awe mkweli -Rangi yoyote -Kabila lolote -Uchumi wowote -Maziwa madogo -dini yoyote -Sura yenye mvuto _Umri 20-25 _Asiyemgumba/mgumba...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Napenda awe mrefu na asiwe kibonge, umri kuanzia miaka 22 mpaka 27. Pia awe mcha MUNGU katika roho na kweli. Ni pm nitakujibu na tutafahamiana kiundani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo Arusha napenda sana kutembelea siku za wikiend kwenda sehemu za nje ya mji natafuta kampan ya ladies wenye tabia ya kutoka wikiend. N:B Mimi ni 20 somthing years old
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Mimi ni mwanaume nimesoma na nimeajiriwa serikalini. Ninatafuta mwanamke aliye tayari kuolewa na kulea familia. Mimi nina umri wa miaka 30. Aliye tayari ani Pm
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Natafuta marafiki sio mchumba, Nipo DSM natafuta marafiki nina miaka 22, jinsia yeyote mnaruhusiwa kikubwa ni nataka kubadilishana mawazo na watu walionitangulia kimaisha pia kupata ushauri...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Awe na umri wa miaka 24-28, awe mcha mungu na kuelewa maisha.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi all, Napenda sana kuchat kwa email kwa atakae penda tubadilishane mawazo na kupeana michongo pia boybway@gmail.com My number ni 0689 784 834 every time penda wote.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hodi wanaforum, nami leo natafuta mwanamke mrembo, muelewa, mwenye mtoto mmoja tu au asiye na mtoto ila ana uwezo wa kupata mtoto. Sifa nyingine ni upole, tabia njema, mpenda maendeleo. Mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni mwanaume natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto, mimi ni mwajiriwa serikalini na nina nyumba pia ninakajiusafiri kakutembelea, mwanamke ninae mwitaji awe mweupe,mrefu kiasi. Kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 niliondoka tanzania nikiwa bado sijafikisha miaka ishirini so sijawa sana na uhusiano na wasichana wa nyumbani kwa muda wa zaidi ya miaka kumi na mbili...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari. Ukweli nilisikitika sana nilipopata majibu kuwa nimuathirika wa HIV niliamini sina jipya tena, but with hope waliniambia HIV haizuii kufikia ndoto zangu na hata kuweza kuoa na kusonga...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom