Anatafutwa mchumba wa kiume HIV+

Anatafutwa mchumba wa kiume HIV+

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
724
samahan wa love connect ,,,

mchumba ameshapatikana naomba msinitafute tena na.ahsanten kwa ushirikiano wenu...nawapenda sana na Mungu awabariki. Tuzidi kuombeana mema zaid na zaidi.
 
Nakuombea umpate mwenye vigezo stahili muanzishe familia.
 
eti anaona aibu,ukimwi nikama mafua tu sikuhizi binti,kua wazi.

ningekua nimgekuchangamkia sasa hivi
 
Mkuu mbona mwenye namba ni mwanaume kwa mujibu wa whatsapp anatfutwa mwnamke au mwanaume
 
Mkuu mbona mwenye namba ni mwanaume kwa mujibu wa whatsapp anatfutwa mwnamke au mwanaume

hakuna tatizo kabisa...kama umekidho vigezo unakaribishwa
 
Back
Top Bottom