Kwa heshima na uadilifu mkubwa kwenu!Napenda kujitokeza hapa KUTAFUTA MKE WA MAISHA,MKE WA KUANZISHA NAE FAMILIA.Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,nina urefu wa futi 5 na inch...
Nahitaji mwanamke mzuri na mwenye kazi yake anapata kipato chake, mimi nina umri wa miaka 28 sina mwanamke kama yuko ambae yuko tayari kuwa na mimi anicheki ibox.
Mcha mungu sana ( narudia tena ) mcha mungu mno uwe mkristo au muislam kwangu haina tatizo
Unayejitambua
Usiwe mzuri sana wala mbaya sana
Elimu kuanzia diploma, degree, masters na phd na umri...
Salaam' naitwa sam npo morogoro nna miaka 26 natafuta mchumba awe na umri kuanzia miaka 22-23,asiwe mwanafunzi awe mweupe au mweusi nipo gudy kwake na awe mrefu wa wastan,awe mkristo aliye tayari...
Awe anapatikana dar es salaam, age 23-28 kama akiwa mkristo itakuwa poa zaidi,elimu yake iwe kuanzia form four na kuendelea.
mimi mwenyewe napatikana dar es salaam,nina elimu ya chuo...
Mm ni kijana nina miaka 24...kwa sasa npo chuo kikuu maeneo ya dar... ila kutokana na wanawake kuwa na vijitabia ambavyo wanaviiga wakishafika huku chuo hivyo mm meamua kutafuta mchumba...
Wakuu natumai ni wazima,
Wakuu nipo depressed and lonely kutokana na some fuckups i did,nimekua mda mwingi nashinda jf nikaona ngoja nijaribu
maybe ntapata rafiki ambaye yupo katika situation...
Any one interested na mimi ani-pm am lonely nahitaji mtu serious atakaye nipenda na kunijali cause nimemiss kuenjoy mapenzi miaka mingi now.
If not interested pita kimya
Habari,
Mimi ni mwanaume natafuta mke wa kuoa umri 24mpk 31, awe hajawahi kuzaa wala kuolewa, awe mweupe mimi na miaka 30 elimu yangu ni kidato cha sita naishi Pwani.
Karibu kama upo serious na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.