Nahitaji marafiki kwa wakazi wa Singida

Nahitaji marafiki kwa wakazi wa Singida

Destinylady

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
52
Reaction score
15
Habari za leo ndugu zangu,

Mimi ni mkazi wa Arusha ila kwa bahati nzuri nimepata kazi mkoani Singida, kutokana na ugeni napenda kupata marafiki waliopo Singida mjini, na pia wawe watu wazima umri kuanzia miaka 35 na kuendelea.

Kwa watakaopenda wani PM, Shukrani
 
Destinylady mm nipo Iramba lkn huwa nakuja Singida Mjini kufuata mshahara kila mwisho wa mwezi

Kama bado nafaa kuwa rafiki yako pls niandikie simu yako chemba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom