Natafuta mchumba

chrisno

Senior Member
Mar 25, 2015
117
195
Mimi ni kijana wakiume natafuta mchumba mwenye busura, asiwe Mkurya awe anajua kusoma nakuandika. Mimi nimeajiriwa serikalini elimu 4-6.

Aliyetayari anitafute pm
 
Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
2,897
2,000
Aise..Bora Wewe unavigezo Poa sasa kwa upande wa Pili Wale Madada Zetu utasika oooh!!..Mimi nikiolewa Napenda Niolewe na Mwanaume Mwenye Gari...Sasa mi najiuliza Hiv huyo Dada ni Dereva Wa Magari Au n Kuendekeza Umaskin tu!!!
 
NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
6,128
2,000
mm ni kijana wakiume natafta mchumba mwenye busura asiwe mkulya awe anajua kuxoma nakuandka mm nimeajir serkaln elim 4-6 aliyetayar aniingie pm
Serekali gani unayo fanya kazi? hiyo 4-6 ndio nini? unataka mwanamke akuiingie? mbona una hatari wewe kama wanawake wa sikuizi wabaya ujue ebu Edit uzi wako kwa style hii humpati ...
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,533
2,000
mm ni kijana wakiume natafta mchumba mwenye busura asiwe mkulya awe anajua kuxoma nakuandka mm nimeajir serkaln elim 4-6 aliyetayar aniingie pm

Unaonekana Una Roho Mbaya Na Mbaguzi Sana Mkuu. Dada Zangu Wa Kikurya Wamekukosea Nini? Utampata Mbaguzi Na Mwenye Roho Mbaya Mwenzio.
 
BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,729
2,000
mm ni kijana wakiume natafta mchumba mwenye busura asiwe mkulya awe anajua kuxoma nakuandka mm nimeajir serkaln elim 4-6 aliyetayar aniingie pm

Ww umeajiri serikali, dah aisee wewe ni tycoon rich...ila naomba nikuulize, ww ni kijana wa kiume au mwanaume, maana kuna tofauti kubwa hapo:eek:
 
akuhmm

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
583
250
mm ni kijana wakiume natafta mchumba mwenye busura asiwe mkulya awe anajua kuxoma nakuandka mm nimeajir serkaln elim 4-6 aliyetayar aniingie pm

Kuanzia cv na uandishi wako hupati kitu. Natfa ndo nn. Mkulya ndo wa wapi ss. Nimeajir...kwani ww ndo serikali? aliyetayar ni neno moja? Halafu unaomba "kuingiwa" pm? Hii ndo kiboko zaidi
 
Second Fiddle

JF-Expert Member
Dec 9, 2014
470
195
Ongea vizur na King's daughter nahisi ni mhitaji pia! Sahihisha mwandiko wako pengine unaweza kumshawishi! Kila la kheri kijana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom