Nafuta mchumba mwanamke Mwalimu au Nesi

Nafuta mchumba mwanamke Mwalimu au Nesi

mahmouddy

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
128
Reaction score
30
Habari zenu wana Love Connect,

Mimi kijana mwenzenu najitokeza hapa kutafuta mwanamke ili awe mchumba wangu Na badae tuje tuwe in familia, Mimi nimeajiriwa Serikalini na nipo Kanda ya Ziwa.

Mwenye sifa zifuatazo ndyo namuhitaji;
-Umri kuanzia 18-22
-Elimu kuanzia IV Na kuendelea
-Kabila lolote
-Dini awe Muislam

Kwa aliye tayari namkaribisha PM muda wowote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom