A very brief discription of mineAge- 36 yrs
Status- divorced(forced- i will explain why)
Occupation- engineer
City- DSM
Who i need- girls/mother above 27 yrs( awe anajishughulisha na chochote kile...
Jf natumai muwazima wote,
Leo naja humu kwa lengo moja tu ni story ndefu ila jua moyo wangu uko na amani sasa kutokana na maumivu ya mapenzi kwa muda mrefu na sasa nimerudi kwenu , kwa...
Nieleweke si mimi ni mtu wangu wa karibu anahitaji.Ni mwanamke btn 30 to 35 mrefu kias,i mweupe,mchaga,elimu diploma,mkristo mcheshi, mkarimu ana hofu ya mungu ,naishi Arusha mengine mtazungumza...
MIMI NI KIJANA WA MIAKA 21. NAJITOKEZA KATIKA UKURASA HUU KUTAFUTA RAFIKI WA KIKE AMBAYE KAMA TUTARIDHIANA, TUJE TUISHI PAMOJA KAMA MUME NA MKE HAPO BAADAYE. NASOMA MWAKA WA KWANZA CHUO FULANI DAR...
Habari zenu wakuu,
Nina demu wangu lakini kwasasa hayupo nchini kwa takribani miezi sita na anatarajia kurudi nchini mwezi wa kumi mwaka huu.
Katika kipindi chote hicho nimekuwa nikiishi bila...
Wadau habari zenu,
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 31, nimepima afya na kukutwa nina maambukizi ya VVU.Natafuta mke wa kuoa mwenye maambukizi kama mm ili tuishi kwa matumaini.
Sina masihara...
Kwanza natanguliza shukran zangu kwa mimi kuwa mgeni humu na kujiunga nanyi wenzangu na nimejiunga humu baada ya kugundua kuwa pana faida kubwa kuliko hasara. nahitaji mwanamke ambaye atakuwa...
Hi guys mi ni kijana age 32 nemechoka kukaa mwenyewe nahitaji jiko now nipo mwanza ni mwajiriwa wa serikali.sichagui dini wala kabila aliye tayari.
Tuwasiliane PM please.
Mimi nipo kanisa la pentecoste Ruaha Kilombero, umri miaka 28, niambie kanisa ulipo nije tuonane wala hatuta ongea na kupatana humu Jf.
Mungu akubariki
Nina umri wa miaka 29,nina elimu ya Shahada,mkristo.Natafuta mchumba awe na umri wa miaka kati ya 20-27,mwenye upendo wa dhati,mcha Mungu(Mkristo) mengine tutayajadili baadaye.
Kama unavigezo na...
Mimi Ni Mtumishi Wa Mungu Na Ni Mchungaji Mtarajiwa, Ninatafuta Mke Mwema Wa Kuoa. Vigezo Awe Ameokoka Kwa Muda Usiopungua Mwaka Mmoja, Awe Anaabudu Makanisa Ya Kirohn, Awe Tayari Kuwa Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.