Natafuta mwanamke wa kumuoa

Natafuta mwanamke wa kumuoa

mahmouddy

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
128
Reaction score
30
Habari za kazi wana jamvi wenzangu,

Najitokeza hapa kumtafuta mwanamke ambaye tuje tuwe na malengo ya kujenga ndoa yetu.Mimi ni muajiriwa wa serikali na sijawahi kuoa na wala sina mtoto ndyo natafuta mwanamke tuwe wapenzi

Awe na sifa zifuatazo;
-Awe ametimiza umri wa miaka 18-23
-Awe Muislam
-Awe anajitambua
-Elimu kuanzia IV na kuendelea

Nipo seriously kwa hilo na wala sio utani,kwa yeyote ambaye yupo tayari naomba ani inbox (PM)
Kwa wenye kujaribu tafadhari nafasi haipo.
 
Acha kudanganya wenzio....

wewe una ugonjwa wa akili si bure.. unajifanya mjuaji mno.. kila thread anayoanzisha mtu wewe kazi yako ni kukosoa tu. hivi who are you by the way. mpaka uwe unakosoa kila mtu? au unahisi una akili nyingi sana?
 
Mpuuzi tu hyo,ndyo maaaana sijamjibu chochote mm,mpuuzi siku zote muache afanye anachotaka
 
wewe una ugonjwa wa akili si bure.. unajifanya mjuaji mno.. kila thread anayoanzisha mtu wewe kazi yako ni kukosoa tu. hivi who are you by the way. mpaka uwe unakosoa kila mtu? au unahisi una akili nyingi sana?

Niko Single....kama hujaolewa njooo...mguo nitanunua nyingine!
 
Back
Top Bottom