Mwenye vigezo hivyo ananifaa

Mwenye vigezo hivyo ananifaa

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
1.Mwenye adabu na unyenyekevu.

2. Kujari na kuthamini familia na jamii kwa ujumla.

3 Elimu yaani mwenye kujitambua yy ni nani.

4. Mkarimu asiwe mkimya kimya awe mchangamfu kwa watu.

5. Mwenye maadili kimavazi na maongezi yake.6. Mcha mungu.

7. Awe mvumilivu wakat wa shida na raha.

8. Awe na mapenzi ya dhati asiwe mpenda starehe tuu..pia ajue mapenzi ya kuniridhisha chumbani had nisimtaman mwingine.

9. Atambue wajibu wake kwa mme wake ndani ya nyumba kama kufua kupka na kuniongoza pale ninapoenda tofauti.

10.Asiwe mkorofi korofi yaaani wivu wa kijinga.

������ Vigezo vyangu hivyo alietayari aje inbox nikatoe mahari
 
Namba 8 na 9 zitakusababishia ukose mke........hasa hawa wa kizazi hiki.........labda uje huku Yaeda kwetu.......sisi huku bado tunaamini Nyerere ndio rais wa nchi hata leo........
 
Hivi wewe kwa akili zako unadhani huyo mwanamke mwenye hizo sifa atatoka JF? Kama unataka mke mwema mwenye hizo sifa ulizotaja hapo juu sali na umuombe Mungu akupatie mke mwenye uzuri wa roho kuliko wa uso na zaidi tabia njema kuliko umaridadi ambaye mtaendana mioyo yenu na nia zenu maana hata maandiko yanasema "Mke mwema atoka kwa Bwana. Moyo wa mumewe humwamini. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana." Baada ya kusema hayo nakutakia kila heri katika mchakato wako wa kutafuta mke na Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom