Kuna wabongo huku pande za Estonia, o Lativia?

Kuna wabongo huku pande za Estonia, o Lativia?

The Hunter

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
1,049
Reaction score
307
Ningependa kukutana na wabongo kama mko pande hizi.
Just kufahamiana na kula bata.
 
Kuwepo watakuwepo tu Sema labda sio member wa JF
 
Watakuwepo tu nenda ubalozi wako utajulishwa na mahali walipo,kama hapa hujawapata.
 
Hivi hata ubalozi upo huko ?
Kwahiyo wewe unaishi huko ujui ubalozi wako uko wapi ............sio kesi wapigie Wizara ya mambo ya nje wakuambie ubalozi wako huko wapi kwa huko kama namba zao huna,ingia google wasachi.
 
Kwahiyo wewe unaishi huko ujui ubalozi wako uko wapi ............sio kesi wapigie Wizara ya mambo ya nje wakuambie ubalozi wako huko wapi kwa huko kama namba zao huna,ingia google wasachi.
Mkuu nipo tandale kwa mtogole hapa nafaidi harufu ya vinye** kutoka kwenye vyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Estonia na Latvia tunahusika na Ubalozi uliopo Mocba(Moscow).
 
Mkuu nipo tandale kwa mtogole hapa nafaidi harufu ya vinye** kutoka kwenye vyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi sawa kwa kunipotezea muda wangu na nguvu nyingi kukuelewesha.
 
Raia wa hizo nchi wenyewe wanapakimbia Wabongo wakafanye nini...
Lkn jitahidi labda unaweza kukutana nao---
 
Basi sawa kwa kunipotezea muda wangu na nguvu nyingi kukuelewesha.
Pole mkuu ndio maisha hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Back
Top Bottom