Mshua original
Member
- Feb 15, 2016
- 27
- 12
Habari wana jf?
Nimejitokeza hapa kutafuta mchumba (mke) kwasababu zifuatazo.
1. Umri wa kuoa umefika sina muda wa kusubiri naamini pia Mungu ndiye kanileta hapa.
2. Wadada wengi ninaowapata hawana sifa ninazozihitaji hivyo naamini hapa jf ni sehemu sahii kumpata mwenza kwani mnajuana sifa na kukubaliana kabla ya kuanza mahusiano.
3. Namtanguliza Mungu na kama mke yumo humu nitampata na kama hayumo Mungu atanionyesha kwingine pa kumtafuta.
Sifa 10 za ninayemhitaji
1. Umri 23-27
2. Rangi mweupe (original) ili tubalance colour
3. Asiwe mwembamba sana wala mnene sana.
4. Asiwe mfupi sana
5. Asiyekunywa pombe wala kuvuta fegi
6. Awe mpole na mkarimu
7. Dini Mkristo
8. Elimu digrii
9. Mwajiriwa na anaishi Dar
10. Awe tayari kupima HIV.
Sifa zangu
Mweusi, mrefu 6ft, mwili moderate size, umri 30yrs, degree holder, mkristu, mwajiriwa:
KARIBU pm
MY TAKE: Najua vigezo ni vingi kama huna usilalamike make anayetafutwa ni mmoja tu akipatikana ndo huyohuyo na kama hayumo humu siyo mwisho wa kutafuta. Amen