kwa mara nyingine najitokeza hapa, natafuta rafiki wa kike, awe mkweli, awe mcha Mungu wa ukweli, awe muwazi, napendelea awe mrefu, umri kuanzia miaka 24-27... elimu kuanzia kidato cha sita.. napenda awe na creative mind.. kama mambo yakienda vizuri basi tutamove na kuingia katika stage nyingine...
asante
asante