Natafuta mwanamke

Natafuta mwanamke

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Natafuta mwanamke, sifa:

1. Awe mzuri au mzuri kiasi

2. Asiwe mke au mme wa mtu

3. Awe hajawahi kuolewa au kufanywa mchepuko, kama ana bikira ni added advantage

4. Awe na tabia nzuri

5. Awe ni mtu ambaye yupo tayari kusafirisafiri, nje ya nchi na mikoani au aliyeko nje ya nchi, asiwe mwoga kupanda ndege (aeroplane)

Kwa mwenye nia na anayetaka kujua zaidi kuhusu mimi, anipm.
 
  • Thanks
Reactions: waj
Namba 3 akiwa hajatumika utamtunuku kitu gani ambacho hajakipata duniani?????????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom