Natafuta mchumba

Model

Member
Mar 31, 2016
27
4
Natafuta mchumba mwenye dhamira ya dhati. Jinsia yangu ni mke na umri wangu 35 nina mtoto mmoja. Ninamtafuta mchumba mume awe na umri 38-45 anaye elewa maisha na kupenda akiwa na mtoto mmoja sawa mapenzi ni maridhiano
 
natafuta mchumba mwenye dhamira ya dhati mi umri wangu 35 ninamtoto mmoja. ninayemtafuta awe na umri 38-45 anaye elewa maisha na kupenda akiwa na mtoto mmoja sawa mapenzi ni maridhiano.
sasa mbona jinsia yako na yaumtakaye hujaweka?au kuna wasiokua na jinsia ndugu?hop umesahau jaribu kurudi kufanya edt uweze kueleweka kwa wahtaji.nivema pia ukaweka na dini yako pia.coz watanzania weng tunazo iman zetu na iman nikitu muhm sana katika maisha
 
Mi nina watoto wawili sina mke kama vp ni pm nikupe more details.
 
Natafuta mchumba mwenye dhamira ya dhati. Jinsia yangu ni mke na umri wangu 35 nina mtoto mmoja. Ninamtafuta mchumba mume awe na umri 38-45 anaye elewa maisha na kupenda akiwa na mtoto mmoja sawa mapenzi ni maridhiano
Na je ukipata mwenye mke utakubali uke wenza?
 
kipengele D
38 - 45 bila kuoa???? ok utampata ila mtakuwa mnaigiza kuishi kama mke na mme. Kwa nini nasema hivyo//
Wewe kwa umri wako wa 35 yrs unajua ni mengi umefanya, umeacha na umeachwa ...
Yeye vile vile ameacha na ameachwa ...

Kumbuka Mahawala huwa hawaachani .....

Chunguza sana uamuzi wako .. vinginevyo unaoa badala ya kuolewa au kuoana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom