Nahitaji rafiki wa kike mwenye age between 18-35yrs

kilanio

JF-Expert Member
May 30, 2015
221
69
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 28, naishi Dar es Salaam,sijaoa,ni mwajiliwa,naishi Dar es Salaam,dini yangu mkristu.

Nakuja jamvini kuomba urafiki kwa yeyote mwenye sifa kama hizi: Awe kuanzia 18-35 yrs, awe na hofu ya Mungu,mwenye kujua uthamini wa urafiki.

Awe mcheshi na mwenye kujituma katika maisha,mshauri mzuri,asiwe tegemezi saana (kusaidiana kupo but kusizidi sana).

SIBAGUI UDINI,KABILA, WALA TOFAUTI ZA,KIUCHUMI.

Natanguliza shukrani,kwa yeyote alie interested, ani Pm kwa mawasiliano zaidi.

Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom