We binti njoo tuishi pamoja sasa hivi...uje na begi lako tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We binti njoo tuishi pamoja sasa hivi...uje na begi lako tu!

Discussion in 'Love Connect' started by mkerwaji, Sep 21, 2012.

 1. mkerwaji

  mkerwaji Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  HELLO'
  Naanza kwa sifa, awe na umri usiozidi miaka 30, awe na umbo la kawaida tu but usiwe mnene, pia usiwe na watoto ulikwisha kuzaa.sio mweupe sana ila awe natural....uwe na kazi yoyote tu ili mradi asubuhi wote tunakuwa busy......mi ni mkristo, kwa hiyo kama uko tayari kuslim kwenda kwenye ukristo itakuwa vizuri zaidi, lakini pia kama hutojali hata ukiwa muislam na uko tayari ndoa ya kiserikali na kila mmoja kubaki na dini yake hilo halina shida.....

  mwanamke mwenye sifa hizo anaweza kuwa wangu na akishinda usaili atakuwa wangu na ndoa ya kiserikali itakayofuatia ndani ya miezi mitatu....
  umri wangu miaka 34, sina mtoto, najiheshimu sana...naishi dodoma, tanzania.​
  kwa wanawake walio serious tu, wanaweza kuanza kwa kunitext via 0714772095.then fro there tutajua jinsi ya kuendelea na kukutana kwa maongezi .
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  weka picha yako hkuna madada kibao wanataka watu sema sasa si hawakuoni
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  khaa sasa wenye nyumba zao na hawajaolewa huwataki? basi ngoja nipige mnada kavitz na ka hekalu kangu nije
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nakuja nitumie ticket, begi nishafungasha
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Uliposema aje na Begi lake tu kwenye heading pale juu nafikiri kuna kitu umekisahau kukimalizia,

  Kwamba ili siku akioondoka aondoke tu na begi lake vilevile kama alivyokuja!!!
   
 6. mkerwaji

  mkerwaji Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  nakusubili.....fanya haraka...........
   
 7. mkerwaji

  mkerwaji Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  sikuwa na maana hiyo..nilimaanisha kuwa asije akaanza kujipanga na kuchukua muda mrefu, so nilikuwa namrahisishia mambo...
   
 8. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Ndo unavyotongoza kama hivi? Ndo maana wanakukataa. Aje na begi tu kwani huyo mwanafunzi anaenda shule ya bweni?
   
 9. s

  sacha Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Tehe tehe mbona nimekutext hujibu ss!!!
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2016
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Kuslimu kwenda kwenye Ukristo tena???
   
 11. B

  Baba wa Mapaka JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2016
  Joined: Oct 17, 2016
  Messages: 418
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Mimi pia nimejiuliza hilo swali
   
 12. mkerwaji

  mkerwaji Member

  #12
  Dec 23, 2016
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Tatizo nini
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2016
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye usaili sijui utawafanyia vp!
   
 14. Mkushi wa kusi

  Mkushi wa kusi JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2016
  Joined: Jun 23, 2015
  Messages: 3,131
  Likes Received: 4,214
  Trophy Points: 280
  Jibu lake ni kwamba huyu anavuta sigara sana
   
Loading...