Mchumba wa kike anahitajika

Ramsonii

Member
Oct 5, 2016
45
125
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 28,sijashindwa kumpata mke huko mitaani ila watu waliopo humu ni walewale waliomo mitaani, tena unaweza kukuta unaumiza kichwa binti unayemuona mtaani kumbe hata hajielewi,kwahivo ni bora kuweka bandiko hapa ambalo linaweza kuleta mtu mzuri zaidi,
Sifa zake
Umri 23-29
Elimu kuanzia form four kwenda juu, hata akiwa na masterz sawa tu
Anayejielewa
Mwajiriwa au aliyejiajiri
Kabila lolote
Nicheki pm
 
Tanya

JF-Expert Member
May 4, 2013
342
250
pole. weka CV yako kwanza. kaka unatangiliza cv ya mtafutwaji we mtafutaji una sifa gani za kukifanya upendwe(your strength will work as pulling factor in this) otherwise Mungu akutangilie kama kweli iko serious
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
3,735
2,000
duh fursa hii niiwahi

ila mchumba ungejidadavua na wew wasifa wako ili nikija pm najua naenda kwa mtu mrefu kiasi flan ni mweusi au mweupe una kazi au umeajiriwa ughaibun? n.k
 
Ramsonii

Member
Oct 5, 2016
45
125
duh fursa hii niiwahi

ila mchumba ungejidadavua na wew wasifa wako ili nikija pm najua naenda kwa mtu mrefu kiasi flan ni mweusi au mweupe una kazi au umeajiriwa ughaibun? n.k
Sifa zangu
Elimu :degree ya kwanza
Kazi :self employed
Rangi :maji ya kunde
Urefu :wastani
Dini :mkristo
 
Ramsonii

Member
Oct 5, 2016
45
125
pole. weka CV yako kwanza. kaka unatangiliza cv ya mtafutwaji we mtafutaji una sifa gani za kukifanya upendwe(your strength will work as pulling factor in this) otherwise Mungu akutangilie kama kweli iko serious
Cv hiyo hapo
Ila mke awe Christian, black au White ila asiwe White wa kujichubua,
Msafi,anayejipenda
Mrefu au size ya kati
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom