Hivi kuna Siri gani kwenye chips mayai/kuku kwa wanawake?

Couple Fundi

Member
Jul 9, 2014
17
8
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya Dada zetu hupenda sana chips mayai, chipsi kuku
Imefikia wakati wako radhi kula chakula icho hata Mara tatu kwa siku na hata mwezi mzima.
Hivi kuna Siri gani kwenye kiepe yai kwa wanawake ? Mana wanapenda sana bidhaa hii. Na wengi wao kwenye kiepe yai huwa hawaruki lazima watatumia tuu chakula hicho.
 
Wanawake wale wavivuvivu na wanafikiria ndiyo ustaarabu kumbe mafuta ya transforma kibao
 
Wanapenda vyakula vilaini sana...wanahis kula chips ni stareh
 
Back
Top Bottom