mtanzania2016
Member
- Nov 3, 2016
- 15
- 11
Mwanzo 2:18 'Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye'.
Habarini za Leo wanafamilia wenzangu wa JF. Nimeanza kwa nukuu hiyo kutoka katika kitabu kitakatifu cha Biblia. Nipo hapa kueleza nia yangu ya dhati, ya kutafuta mke , mwenzangu wa maisha.
Mimi ni Kijana mkristo, umri wangu miaka 27. Ni mwajiriwa, na elimu yangu ni ya Chuo Kikuu.
Nahitaji mke, mwenye sifa zifuatazo. Awe mkristo, mwenye nia na dhamira ya kua mke, atakae kua na upendo wa dhati na mwenye maadili mema na mcha Mungu. Awe na elimu ya chuo au mwanachuo mwaka wa mwisho. Umri wake uwe kati ya miaka 21 hadi 25. Nipo mkoani Mwanza.
Kwa alie na sifa hizo ani-PM ili tuweze kuzungumza zaidi.
Nawasilisha.