Natafuta mchumba wa kuweza kuoana na kujenga familia

Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana umri miaka 26,muislamu,Elimu ya chuo kikuu,muajiriwa serikalini.

Natafuta mchumba umri 32+,muislamu mwenye khofu ya mungu,elimu ya chuo kikuu,kabila lolote lile.

Kwa mawasiliano zaidi PM,
Shukran
Karibu PM, tuzungumze
 
Nakuombea dhima yako njema ufanikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom